Dua ya wakati wa kuvaa nguo
Mtume Muhammad (s.a.w) ametufundisha maneno ya kuyasema (Dua) wakati unavaa nguo.
Hadith
"الحمدُ للهِ الّذي كَساني هذا (الثّوب) وَرَزَقَنيه مِنْ غَـيـْرِ حَولٍ مِنّي وَلا قـوّة"
Alḥamdu lillāhil-ladhī kasānī hādhā (aththawba) wa razaqanīhi min ghayri hawlim-minnī wa lā quwwah.
Marejeo:
Al-Bukhari, Muslim, Abu Dawud, Ibn Majah, At-Tirmidhi. See also 'Irwa'ul-Ghalil 7/47.
Hisn al-Muslim, 5
In-Book Reference: Book 1, Hadith 5
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Al-Arbauwn An-Nawawiyyah hadithi ya 2: Ujio wa Jibril kwa Mtume (s.a.w)
Hii ni hadithi ya pili katika kitabu cha Arbain Nawawiy
Soma Zaidi...Dua Sehemu ya 02
Zijuwe nyakati ambazo dua inakubaliwa kwa haraka zaidi. Zijuwe nyakati ambazo ukiomba dua hitakubaliwa.
Soma Zaidi...