DART somo la 17: method za namba zinazotumika kwenye dart
Katika somo hili utakwenda kuziona method za dart zinazotumika kwenye namba. pia utajifunzakuhusu math library
- Kukadiria namba
Chukulia mfano 10/3 = 2.5. Sasa tukiikadiria hapa tutapata 3
void main(){
double jibu = 10/4;
print(jibu);
print(jibu.round());
}
- Kuangalia sifa za namba
- Namba shufwa (isEven)
Hii itatoa jibu true ikiwa kweli na false ikiwa si kweli. Washa tutest kama 4 ni shufwa
void main(){
print(4.isEven);
}
True
- Kutengeneza hashcode ya namba (hashCode)
Hii itakuletea hashcode ya namba husika. Kwa mfano namba 5 tunakwenda kuitengenezea hashcode haye
void main(){
print(5.hashCode);
}
58005
- Kunagalia kama namba ni hasi tutatumia isNegative
- Kuangalia kama namba ni infinit - haina mwisho tutatumia isInfinit
- Kuangalia kama namba ni finit - ina mwisho tutatumia isFinit
- Kuangalia kama namba sio negative - hasi tutatumia isNan
- Kuangalia kama namba ni witiri yaani odd tutatumia isOdd
3. Kubadili namba kuwa string toString
void main(){
print(4.toString());
}
4
Zipo method nyingine za namba. Sasa nataka tuhame tuingie kwenye library ya math yaani math library.
Math library
Ni mkusanyiko wa tools za kufanyia mahesabu. Tutakwedna kujifunza vyema katika somo la library. Hapa ninachotaka ni uweze kujifunza kuitumia library ya mahesa...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 ai web app 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
DART somo la 13: function kwenye dart
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.
Soma Zaidi...DART somo la 12: Kuchukuwa user input kwenye Dart
Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Dart kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...DART somo la 11:break and continue statement kwenye Dat loop
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...DART somo la 10: while loop na do while loop kwenye Dart
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Dart.
Soma Zaidi...DART somo la 22: Jinsi ya kutumia html library kwenye Dart
Katika somo hili tutakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia library ya html kwenye Dart. somo hili litakupeleka kujifunza jinsi ya ku display dart output kwenye faili la html.
Soma Zaidi...DART somo la 20: method zinazotumika kwenye map data type kwenye Dart
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...