Navigation Menu





DATABASE

picha
SQL SOMO LA 20: JINSI YA KUUNGANISHA TABLE KWNEYE DATABASE

Katika somo hili utakwend akujifunz akuunganisha table zaidi ya moja kwneye database.
picha
SQL SOMO LA 19: STORED PROCEDURE KATIKA MYSQL NA TOFAUTI NA FUNCTION

Somo hili ni muendelezo wa pale tulipoishia katika somo lililopita, hapa tutakwenda kusoma Stored Procedure katika MySQL na Tofauti na Function
picha
SQL SOMO LA 18: JINSI YA KUTENGENEZA FUNCTION KWENYE MYSQL DATABASE

Wakati mwingne utahitaji kuwa na function ili kurahisisha uchakataji wa data nyingi bila ya kurudia rudia kuandika code.
picha
SQL SOMO LA 17: JINSI YA KUTENGENEZA VARIABLE KWENYE MYSQL

Katika somo ili utakwend akujifunza jinsi ya kuweza kutengeneza variable kwenye database ya mysql
picha
SQL SOMO LA 16: JINSI YA KUANDAA MATOKEO YA MTIHANI KWA KUTUMIA DATABASE

Katika somo hili tutakwenda kumalizia program yetu ya kutengeneza matokeo ya wanafunzi kwa kuweka position kwa kila somo na position ya ujumla.
picha
SQL SOMO LA 15: JINSI YA KUTUMIA SQL FUNCTION KWENYE MYSQL

Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function kwenye sql na jinsi ya kuzitumia.
picha
SQL SOMO LA 14: JINSI YA KUTAFUTA RANK NA POSITION KWA KUTUMIA SQL

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutafuta rank ama position kwenye data base yako kwa kutumia sql. Pia utajifunza kuhusu table alias
picha
SQL - SOMO LA 13: JINSI YA KUTUMIA CASE KWENYE SQL

katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutumia case kwenye databse ili kuchakata taarifa za matokeo
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 12: JINSI YA KUTAFUTA WASTANI, JUMLA NA IDADI KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya mahesabu mbalimbali kwenye database. Kwa mfano kutafuta jumla, idadi na wastani
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 11: KUDHIBITI MUONEKANO WA USOMAJI WA DATA KWENYE DATABASE.

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa data kutoka kwenye database, kwa kudhibiti mpangilio wake.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 10: KUPANGILIA MUONEKANO WA DATA WAKATI WA KUZISOMA KWENYED DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database katika mitindo mbalimbali kama kutoka kubwa kwenda ndogo, ama ndogo kwenda kubwa na mingineyo.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 9: JINSI YA KUSOMA DATA KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database. Pia utajifunza jinsi ya ku limit kiasi cha data ambazo zitaonekana.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 8: JINSI YA KUWEKA DATA (TAARIFA) KWENYE DATABASE

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka data kwenye database, ku edit pamoja na kufuta kwa kutumia SQL na Myql interface
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 7: JINSI YA KUBADILI JINA TABLE NA COLUMN KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili jina la table na jina la column kwenye mysql database.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 6: JINSIBYA KUTENGENEZA TABLE KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table za database
picha
SQL -MYSQL SOMO LA 5: AINA ZA DATA ZINAZOTUMIKA KWENYE MYSQL DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za data zinazotumika kwenye mysql database
picha
SQL -MYSQL SOMO LA 4; JINSI YA KUFUTA DATABASE, KUITUMIA DATABASE NA KUBADILI JINA LA DATABASE PAMOJA

Katika somo hili utajifunza kupata orodha ya database, kubadilibjina la database, kufuta database
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 3: JINSI YA KUTENGENEZA DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza database kwenye mysql kwa kutumia interface ya mysql na kwa kutumia sql langauge
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 2: MAANA YA DATABASE NA INA ZA DATABASE NA KAZI ZAKE

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za database, lugha ya sql pamoja kuzijuwa kazi zake
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 1: JINSI YA KUTUMIA DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandaa kompyuta ama simu yako kwa ajili ya mafunzo ya database