Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutafuta rank ama position kwenye data base yako kwa kutumia sql. Pia utajifunza kuhusu table alias
Kabla ya kuendelea na somo, kwanza nataka kukufundisha kitu kinachoitwa alias. kwenye database hii keyword ina maana unakwenda kubadili jina la table ama database temporary yaani sio permanent. tulishatumia hii keyword hapo juu. hapa nitakupa ,ifano zaidi.
Tebo yetu ina column 3 ambazo ni id, jina, alama. Sasa kwa sababu za kiusalama tunataka column jina na alama tuzipe majina ya utani ili mtu mwingine asijuwe jina halisi la hizo column. kwa nini ni muhimu? ni kwa sababu hacker anaweza kufanya uharibifu kwa haraka endapo atalijuwa jina halisi la databae ama column.
Hivyo column id tutatiita, column jina tutaiita name na column alama tutaiita marks. Kwa kutumia alias tunaweza kufanya hivyo. kwanza utaweka jina halisi likifuatiwa na keyword as ikifuatiwa na jina la utani ama alias .
Mfano.
SELECT id as NO, jina as name, alama as marks FROM `majibu`
Utaona hapo column zetu zimepata majina mapya. Sasa unaweza kutumia majina hayo kwenye code zako za PHP kwa usalama zaidi wa project yako.
Sasa turudi kwenye somo letu la kutafuta rank ama position. Ili uweze kutafuta rank zipo njia nyingi ila hapa tutatumia function ya RANK() OVER () katika somo linalofuata tutajifunza kuhusu function kwenye sql. hivyo hapa elewa kwanza functio hii tunayokwend akuitumia.
Ndani ya function hii tutakwenda ku order by hapa utachaguwa hiyo position yako ama rank unataka kuangalia vigezo gani. Kwa mfano hapo tutaangalia kmwenye marks nyingi zaidi ndiye wa kwanza, hivyo itatubidi ku oder by marks ila tutazipanga kutoka kubwa kuja ndogo yaani desc hivyo function yetu itasomeka hivi rank over(order by marks desc) baada ya hapo utaweka alias na kuweka jina la hiyo column yenye rank, ">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili jina la table na jina la column kwenye mysql database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza database kwenye mysql kwa kutumia interface ya mysql na kwa kutumia sql langauge
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya mahesabu mbalimbali kwenye database. Kwa mfano kutafuta jumla, idadi na wastani
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya transaction kwenye database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table za database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu aina nyingine ya database inayoitwa sqlite. Hii haihitaji server, na ni faili moja tu.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za database, lugha ya sql pamoja kuzijuwa kazi zake
Soma Zaidi...Wakati mwingne utahitaji kuwa na function ili kurahisisha uchakataji wa data nyingi bila ya kurudia rudia kuandika code.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database. Pia utajifunza jinsi ya ku limit kiasi cha data ambazo zitaonekana.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function kwenye sql na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...