Katika somo hili utakwend akujifunza nadharia nzima ya view.
View ni mtazamo wa kimantiki unaotokana na data ya moja au zaidi ya jedwali katika database. Ni kama jedwali lililojengwa kwa kutumia command (query), lakini halihifadhi data yenyewe. Badala yake, view huonyesha data moja kwa moja kutoka kwa jedwali/jedwali za chanzo kila wakati inapotumiwa.
View hutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama:
Unapounda view, unatumia CREATE VIEW ikifuatana na swali linalochagua data inayohitajika.
Hapa tunaunda view inayoonyesha wanafunzi na madarasa yao:
CREATE VIEW Wanafunzi_Darasa AS
SELECT Wanafunzi.mwanafunzi_id, Wanafunzi.jina, Madarasa.jina_la_darasa
FROM Wanafunzi
JOIN Madarasa ON Wanafunzi.darasa_id = Madarasa.darasa_id;
Hii ni view inayoonyesha wanafunzi wa darasa maalum:
CREATE VIEW Wanafunzi_Darasa_A AS
SELECT mwanafunzi_id, jina
FROM Wanafunzi
WHERE darasa_id = 1;
Baada ya kuunda view, unaweza kuitumia kama unavyotumia jedwali la kawaida.
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandaa kompyuta ama simu yako kwa ajili ya mafunzo ya database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz akuunganisha table zaidi ya moja kwneye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kupata orodha ya database, kubadilibjina la database, kufuta database
Soma Zaidi...Function hizi ni muhimu katika kubadili data kabla ya kuzionyesha. Hii ni muhimu ili kupata structure maalum ya data.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function kwenye sql na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya mahesabu mbalimbali kwenye database. Kwa mfano kutafuta jumla, idadi na wastani
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kumalizia program yetu ya kutengeneza matokeo ya wanafunzi kwa kuweka position kwa kila somo na position ya ujumla.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa data kutoka kwenye database, kwa kudhibiti mpangilio wake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za database, lugha ya sql pamoja kuzijuwa kazi zake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database. Pia utajifunza jinsi ya ku limit kiasi cha data ambazo zitaonekana.
Soma Zaidi...