Katika somo ili utakwend akujifunza jinsi ya kuweza kutengeneza variable kwenye database ya mysql
Jinsi ya kutengeneza variable
Katika somo hili utakwenda kujifunz ajinsi ya kutengeneza variable kwenye mysql database.
Cariable zinasaidia sana katika kurahisisha mchakato wa kuchakata data kwenye database. kama ilivyo kwenye lugha nyingine za kompyuta zinakuwa na variable basi hata kwenye sql unaweza kuweka variable.
Katika somo hili tutakwenda kutumia database yetu ya duka kwa ajili ya mauzo ya vitu. unaweza kutengeneza table kama hii hapo chini:-
Tengeneza database iite shop kisha tengeneza table iite product ama run code hizo hapo chini:-
CREATE TABLE products (
id INT PRIMARY KEY AUTO_INCREMENT,
name VARCHAR(100),
price DECIMAL(10, 2),
quantity INT
);
Ingiza data kwenye table hiyo kwa kutumia code hizi:-
INSERT INTO products (name, price, quantity) VALUES
('Laptop', 1200.50, 5),
('Phone', 800.00, 10),
('Tablet', 250.00, 7),
('Headphones', 50.00, 15);
Ssa tuanze jinsi ya kutengeneza variable ambayo tutakuwa tunaitumia kwenye kuchakata data hizi.
Kanuni ya kutengeneza variable
SET @variable_name = value;
Kama unavyoona hapo kwanza tunatumia keyword SET ikifuatiwa na alama ya @ ikifuatiwa na jina la hiyo variable mwisho inafuatiwa na alama ya = na thamani ya hiyo variable.
Mfano:
SET @jumla = 100
na ili kuisoma hiyo variable tutatumia keyword SELECT
Mfano:
SELECT @jumla;
Pia unaweza kutumia alias ili ku display jina lililokuwa vizuri
Mfano
SET @jumla = 100;
SELECT @jumla as jumla;
Kwa kuwa sasa tunaweza kutengeneza variable sasa wacha tuitumie kwenye database yetu. Tuseme tunataka kutengeneza variable kwa ajili ya kupata jumla ya gharama (price) wenye bidhaa zote zilizopo kwenye duk">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandaa kompyuta ama simu yako kwa ajili ya mafunzo ya database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza nadharia nzima ya view.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za data zinazotumika kwenye mysql database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu nadharia ya Constraints kwenye Database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz akuunganisha table zaidi ya moja kwneye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa data kutoka kwenye database, kwa kudhibiti mpangilio wake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database katika mitindo mbalimbali kama kutoka kubwa kwenda ndogo, ama ndogo kwenda kubwa na mingineyo.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili jina la table na jina la column kwenye mysql database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya transaction kwenye database
Soma Zaidi...Somo hili ni muendelezo wa pale tulipoishia katika somo lililopita, hapa tutakwenda kusoma Stored Procedure katika MySQL na Tofauti na Function
Soma Zaidi...