Bongoclass

PHP - somo la 48: Jinsi ya kuzuia hacking kwenye sytem ya kujisajili na ku login
FEATURED STORY

PHP - somo la 48: Jinsi ya kuzuia hacking kwenye sytem ya kujisajili na ku login

Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo utaweza kutengeneza mfumo wa kuisajiki na ku login, kisha kuangalia usalama wa mfumo kwa kuzuia sql injection....

Soma Makala

Makala Mpya:

Jinsi ya Kutengeneza QR Code

Makala hii inakuonyesha jinsi ya kutengeneza QR Code yako binafsi. Utaelewa maana ya QR Code, vifaa unavyohitaji, na hatua rahisi......

Jinsi ya Kuscan QR Code

Katika makala hii, utajifunza nini maana ya QR Code, umuhimu wake, na jinsi unavyoweza kuichanganua kwa kutumia simu yako. Lengo......

Jinsi ya Kutumia QR Code

Katika makala hii, utajifunza nini maana ya QR Code, umuhimu wake, na jinsi unavyoweza kuichanganua (scan) kwa kutumia simu yako.......

Jinsi ya Kushare Location

Makala hii inakufundisha maana ya kushare location na umuhimu wake katika usalama na urahisi wa mawasiliano. Tutakuonyesha hatua kwa hatua......

Jinsi ya Kutumia Google Maps

Makala hii inakupa mbinu rahisi za kutumia Google Maps. Utaelewa jinsi ya kutafuta mahali, kuona njia ya kufika unakoenda (kwa......

Jinsi ya Kutuma Email

Makala hii inaeleza kwa ufupi na uwazi jinsi ya kutunga na kutuma barua pepe. Tutapitia vipengele muhimu kama vile sehemu......

Faida za Screen Protector

Screen Protector ni kifaa chembamba kinachowekwa juu ya skrini ya simu ili kuilinda dhidi ya mikwaruzo, mipasuko na uharibifu mwingine......

Jinsi ya Kubadilisha Ringtone

umechoka kusikia mlio uleule wa kawaida kila mara simu yako inapopigwa? Makala hii itakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kubadilisha......

About

Kuhusu Bongoclass

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.

Mchanganyiko