Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa UTI kwa wajawazito
UTI NA UJAUZITO.Moja katika changamoto za ujauzito ni kupata maambukizi na mashambulizi ya UTI ya mara kwa mara. Bakteria ni rahisi kuingia kwenye mirija ya mkojo na kukifikia kibofu, haya kwa wajawazito ni rahisi sana kuliko ambao sio wajawazito. Tafiti zinaonyesha kuwa asilimia 18 ya wanawake wajawazito wanasumbuliwa na UTI.
Dalili za UTI1.Maumivu wakati wa kukojoa na kuhisi kama unaungua2.Kukojoa mara kwa mara3.Mkojo kuwa na mawingi mawingu ama kuwa kama na damu4.Maumivu ya kwenye nyonga5.Maumivu ya mgongo sehemu ya chini6.Homa7.Kichefuchefu
Njia za kujikinga na UTIA.Kojoa kila unapohisi mkojoB.Kunywa maji mengiC.Wacha kutumia viungo vya uke (kusafisha uke kwa kemikali, eti kufanya uke ukaze, msafi na wenye kuvutia)D.Wacha kutumia sabuni kali sehemu za siri
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto.
Soma Zaidi...Maambukizi kwenye Njia ya Uzazi kwa kifupi hujulikana Kama PID.ni Maambukizi ya mfumo wa Uzazi yanayoathiri wanawake, Maambukizi haya kwa Kawaida huhusisha sehemu Kama shingo ya uzazi,nyuma ya mfuko wa Uzazi na mirija ya uzazi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya homoni ya testosterone, hii homoni kwa kiwango kikubwa ukutwa kwa wanaume ndiyo homoni ambayo umfanya mwanaume aonekane jinsi alivyokuwa na sifa zake zote.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba, ni Imani ambazo zimekuwepo kwenye jamii kuhusu wanawake wenye mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango unavyofanya na mwanaume kushiriki, ni njia ambayo umfanye mwanaume awe mhusika hasa wakati wa kujamiiana.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuepuka fangasi za ukeni, ni njia ambazo usaidia kuepuka madhara ya fangasi za ukeni.
Soma Zaidi...Dalili za mwanzo za ujauzito zinaweza kuwa ni changamoto kwamwanamke hasa ikiwa ndio mimba yake ya kwanza. Maumivu ya tumbo, kujaa kwa tumbo gesi, kukosa choo ama hamu ya kula na kadhalika huweza pia kuambatana na ujauzito.
Soma Zaidi...Kama na wewe unasumbuliwa na hali ya kupitiliza siku zako post hii itakusaidia.
Soma Zaidi...