Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za muarobaini
FAIDA ZA MUAROBAINI
1.Kutibu vidonda
Hii hifanyika kwa kusaga majani ni muarobaini kasha unapaka majimaji yake kwenye kidonda kwa. Hivi utafanya kwa uchache kwa siku. Fanya hivi mpaka kidonda kikauke.
2.kutibu matatizo ya macho
Hii hufanyika kwa kuchemsha majani ya muarobaini. Subiri mpaka maji yapoe kasha tumia maji haya kusafisha macho yako. Husaidia miwasho ya macho na matatizo mengineyo
3.matatizo ya masikio
Saga majani ya muarobaini kasha changanya na asali. Tumia matone machache ya mchanganyiko huu kwenye sikio.
1. kwa muasho wa ngozi
Saga majani ya muarobaini kasha paka kwenye ngozi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula biringanya eggplant)
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini
Soma Zaidi...Virutubisho vya protini vina kazi nyingi mwilini. Zifuatazo ndio kazi protini mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi virutubisho vilivyomo kwenye parachichi, tunajua sana kuwa parachichi ina virutubisho vingi ambavyo vinaweza kuleta faida nyingi kwenye mwili kama yalivyo matunda na vyakula vingine.
Soma Zaidi...