Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za minyoo ya tumbo ambapo minyoo hawa husababishwa na mtu kula vyakula vichafu ambavyo havijaiva vizuri au maji machafu pia au bacteria.
Zifuatazo Ni dalili na ishara za minyoo ya tumbo
1.kula sana; baadhi ya watu wakiwa na minyoo huwa wanakula Sana kuliko hapo awali hivyo watu wwngine huwa na hamu ya kula.
2.kukosa hamu ya kula kabisa; baadhi ya watu wakipata minyoo ya tumbo hukosa hamu ya kula kabisa.
3.kutoa kinyesi chenye Damu pamoja na makamasi; wenye minyoo ya tumbo huona dalili za damu na makasi kwenye kinyesi chake .
4.tumbo kuchomachoma; hii pia Ni dalili ya minyoo ya tumbo ambapo mtu mwenye minyoo atasikia tumbo linachomachoma na hupelekea maumivu makali sana.
5.kichefuchefu; minyoo ya tumbo huleta kichefuchefu
6.kutapika; pia na hii Ni dalili Ila mda mwingine unaweza usitapike ukapata kichefuchefu.
Minyoo husababishwa na vitu vingi mfano kula nyama ambazo hazijaiva vizuri, maziwa ambayo hayajachemshwa vizuri,maji machafu ambayo hayajachemshwa, mboga mboga na vitu vingine vingi hupelekea minyoo .
Mwisho; minyoo Ni za Hatari Kama zisipopatiwa matibabu pia Kuna dawa za minyoo ambazo Ni vyema Kila baada ya miezi mitatu kutumia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za presha ya kushuka
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye milija (follapian tube) kwa kitaalamu huitwa salpingitis, ni maambukizi kwenye milija ambayo husababishwa na bakteria.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu maambukizi chini ya kitovu ni madhara ambayo yanaweza kutokea kwa mgonjwa pale ambapo matibabu yanapokuwa hayatolewi kwa mgonjwa wa maumivu chini ya kitovu.
Soma Zaidi...Makala hii itaeleza dalili za ukimwi, dalili za VVU, magonjwa nyemelezi na matumizi ya ARV
Soma Zaidi...Malaria husababishwa na vijidudu vidogo parasite wanaojulikana kama plasmodium. Vijidudu hivi hubebwa na mbu aina ya anophelesi. Kuna ina nyingi za plasmodium lakini aina 5 tu ndizo husababisha malaria
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza vitu vinavyosababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo,ni dalili ambazo ujionesha kwa mtu akiwa na shida kwenye utumbo mdogo na tumbo la kawaida.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi vyanzo vya kuwepo kwa kiungulia, kiungulia ni kitendo cha kupanda kwa gesi kutoka kwenye tumbo mpaka kwenye mdomo,hali uwasumbua wengi na kusababisha hali isiyo rafiki.
Soma Zaidi...