CSS

Haya ni mafunzo ya CSS

Drone: Nyuki Dume na Majukumu Yake
DRONE: NYUKI DUME NA MAJUKUMU YAKE

Simulizi hii inaelezea maisha ya nyuki dume, zinazojulikana kama drone. Inafafanua majukumu yao, maisha yao ya kila siku ndani ya kiwanda cha nyuki, na hatima yao baada ya kufanikisha kuzaliana na kifalme cha nyuki. Simulizi pia inaangazia tofauti zao na nyuki wa kike, na umuhimu wao katika uzazi wa kifalme.

CSS - somo la 34: if() Condition katika CSS
CSS - SOMO LA 34: IF() CONDITION KATIKA CSS

Katika somo hili, tutajifunza kipengele kipya kinachoitwa if() function ndani ya CSS, kilichoanza kupatikana kwenye toleo la Chrome 137. Kipengele hiki kinaturuhusu kuandika mantiki ya masharti moja kwa moja kwenye property ya CSS, bila kutumia JavaScript wala media query zilizotawanyika. Tutajifunza pia aina za queries: media(), supports(), na style() pamoja na matumizi yao ya kivitendo kwenye tovuti. Mwisho, tutaeleza kwa kina kuhusu pointer na any-pointer.

CSS - SOMO LA 33: CSS Frameworks
CSS - SOMO LA 33: CSS FRAMEWORKS

Katika somo hili tutajifunza kuhusu CSS frameworks mbalimbali zinazosaidia kuharakisha uundaji wa mitindo kwenye tovuti. Tutazungumzia frameworks maarufu kama W3.CSS, Bootstrap, Google Fonts, na nyinginezo, faida, matumizi, na tofauti zao.

CSS - SOMO LA 28: CSS Timing Functions
CSS - SOMO LA 28: CSS TIMING FUNCTIONS

Katika somo hili tutajifunza kuhusu CSS Timing Functions, ambazo hutumika kudhibiti kasi na mtiririko wa transition na animation. Utaelewa tofauti kati ya ease, linear, ease-in, ease-out, ease-in-out, pamoja na jinsi ya kutumia cubic-bezier() kwa kudhibiti mwendo wa mabadiliko kwenye elementi.

CSS - SOMO LA 26: CSS Specificity (Kipaumbele cha Styles)
CSS - SOMO LA 26: CSS SPECIFICITY (KIPAUMBELE CHA STYLES)

Katika somo hili, tutajifunza kuhusu CSS Specificity — yaani mfumo wa kipaumbele unaotumiwa na kivinjari kuchagua ni mtindo (style) upi utumike iwapo kuna migongano kati ya selectors mbalimbali. Utaelewa jinsi ya kupanga selectors zako vizuri ili kuzuia matatizo ya mitindo kutofanya kazi kama ulivyotarajia.

CSS - SOMO LA 21: CSS Units
CSS - SOMO LA 21: CSS UNITS

Katika somo hili, utajifunza vipimo vinavyotumika kwenye CSS kama vile px, em, rem, %, vw, na vh. Vipimo hivi hutumika kuweka ukubwa wa maandishi, padding, margin, urefu, na upana wa vipengele kwenye tovuti.

CSS - SOMO LA 18: Grid Layout
CSS - SOMO LA 18: GRID LAYOUT

Katika somo hili, utajifunza misingi ya CSS Grid Layout, mfumo wenye nguvu wa kupanga vipengele katika safu (rows) na nguzo (columns). Tutachambua display: grid, pamoja na grid-template-columns, grid-template-rows, gap, grid-column, na grid-row.

CSS - SOMO LA 17: Flexbox Advanced
CSS - SOMO LA 17: FLEXBOX ADVANCED

Katika somo hili, utajifunza vipengele vya juu zaidi vya Flexbox: flex-wrap, flex-grow, flex-shrink, na flex-basis. Pia tutajifunza jinsi ya kujenga muundo wa safu (rows) na nguzo (columns) kwa kutumia Flexbox layout.

CSS - SOMO LA 16: Flexbox Basics
CSS - SOMO LA 16: FLEXBOX BASICS

Katika somo hili, utajifunza msingi wa mfumo wa Flexbox unaotumika kupanga elementi kwa usahihi ndani ya kontena. Utajifunza kuhusu display: flex;, pamoja na properties muhimu kama justify-content, align-items, flex-direction, na gap.

CSS - SOMO LA 14: Position Property
CSS - SOMO LA 14: POSITION PROPERTY

Katika somo hili utajifunza kuhusu property ya position katika CSS, ambayo hutumika kuamua jinsi element inavyowekwa ndani ya ukurasa. Tutajifunza aina tano kuu za position: static, relative, absolute, fixed, na sticky.