CSS - somo la 4: Aina za css selecto

Katika somo hili uatkwenda kujifunza aina za css selectors

Aina za selector

Katika css selectors unaweza kuzigawa katika makundi ma nne abayo ni kama:-

  1. Element selectors
  2. Class selectors
  3. Id selectors
  4. Group selectos
  5. Universal selector


 

1. Element selectors

Hizi ni zile selector ambazo zinatarget element za html, kama vile heading kwa <h1>, paragraph kwa <p>, bolding kwa <b> na kuendelea.

b{color: red;

 font-family: "Times New Roman";

 text-align: center;

}

Hii imetagget b

 

2. Class selectors

 

Hizi hutumika wakati ambapo unataka ku target element zaidi ya moja. Unapotumia class selector internal css na external css hazitaweza kufanya kazi katika element husika tu na sio kwa parent element ya hiyo child element. Hii ni nzuri sana kwa kuwa haiwezi kuathiri element nyinginezo kwani haifanyi kazi mpaka iitwe.

 

Uandishi wa class

Kwanza utaweka nukta yaani period (.) ama doti ilifuatiwa na jina la class likifuatiwa na mabano{} ambapo ndani ya mabano hayo ndipo utaweka code za css. Mfano tunatengeneza claaa tutakayoiita muhimu hii itakuwa na style hizi: rangi nyekundu, font 200%, font-family arial

No.muhimu{

   font-size: 200%;

   font-family: Arial;

   color: red;

}

 

Ili kuweza kuitumia class hiyo kwenye element unayo target utaiitwa kwa kuanza kuandika neno class likifuatiwa na alama ya = likufuatiwa na alama za kunukuu, ndani yake weka jina la class. 

<p class="muhimu">Karibu bongoclass</p>

Class hiyo unaweza kuitumia katika element yeyote ile unayohitaji iwe na style hiyo. Na hakuna kikomo juu ya matumiazi yake. Jambo la kuzingatia ni kuwa class itaathiriwa na parent style. Kwa mfano kwenye <body> tuliweka text background colo iwe red, sasa hiyo background color itaendelea kwenye class yetu lamda na sisi kwenye class tu set background ntingine.

 

Pia zingatia kuwa jina la class halitakiwi kuanza na namba ama space (empty space)

 

3. ID selectors

Hizi hutumika pale unapo target element moja tu. Element inaweza kuwa na class zaidi ya Moja, lakini haiwezi kuwa na Id zaidi ya Moja.

 

Pia id huzingatiwa mwanzo kuliko class wakati ukurasa wa wavuti unapofunguliwa kwenye browser.

Aw

Uandishi wa Id">...Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023-10-21 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 231


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

CSS - somo la 2: Jinsi ya ku weka code za css kwenye HTML
katika somo hili utajifunza jinsi ya ku install css kwenye ukurasa wa html Soma Zaidi...

CSS - somo la 4: Aina za css selecto
Katika somo hili uatkwenda kujifunza aina za css selectors Soma Zaidi...

CSS - somo la 3: syntax za css yaani sheria za uandishi wa css
Katika somo hili utakwenda kujifunza sheria za uandish wa css yaani syntax za css Soma Zaidi...

CSS - somo la 1: Maana ya CSS, kazi zake na historia yake
Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya CSS, pia nitakujulisha kazi zake. Mwisho utatambuwa historia ya CSS toka kuanzishwa. Soma Zaidi...

CSS - somo la 5: Njia tano zinazotumika kuweka rangi kwenye css
Katika somo hili utajifunza aina tano za kuweka rangi kw akutumia css Soma Zaidi...