UKURASA WA AMP KWENYE SEO Katika somo hili tutaeleza maana ya AMP (Accelerated Mobile Pages), jinsi inavyofanya kazi, faida zake katika SEO, changamoto zake, na njia bora za kuitumia ili kuboresha utendaji wa tovuti yako kwenye injini za utafutaji kama Google.