Katika post hii utakwenda kujifunza hatuwa kwa hatuwa za ku download video za Youtube kwa haraka.
Ijapokuwa App ya YouTube inaruhisi ku download video lakini Huwa baada ya muda zinaondoka. SAS ahapa nitakuelekeza ku download video katika format mbalimbali na kuhifadhi kwenye kifaa chako.
Hatuwa za kufuata:
1. Kwanza download browser inayoitwa brave browser. Kama unatumia kompyuta ingia Google Kisha andika brave browser download. Kisha bofya link ya kwanza update ku download.
Kama unatumia simu ingia App store kama playstore Kisha andika brave browser. Tafuta app yenye jina hilo Kisha install.
2. Ingia YouTube Kisha kopi link ya video. Kama unatumia kompyuta link utaipata kwenye url bar kwenye browser . Kama unatumia app ya YouTube bofya share chini ya hiyo video Kisha bofya copy link.
3. Ingia kwenye brave browser Kisha kwenye sehemu ya kuandika link andika y2mate.com. itakapofunguka utaona kuna kibox. Ndani ya hiko kibox weka link ya video uliokopi kutoka YouTube
4. Baada ya ku load itakuletea format za video, na audiopamoja na ukubwa wake. Chaguwa format unayoitaka Kisha subitia iendelee ku convert.
5. Baada ya hapo itaanza ku download video Yako.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowWatu wangi wnekuwa wakitumia meme, ila bila ya kujuwa nini hasa hizo meme. Na hasa Zina matumizi gani
Soma Zaidi...Umesha sikia sana kuhusu neno tehama, lakini je umeshajuwa tehama ni nini hasa. Katika makala hii utakwenda kujifunza kuhsu tehama
Soma Zaidi...Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi wa lugha zaidi ya 20 za kompyta.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya constanta pamoja na matumizi yake. Pia utazijuwa sheria za uandishi wa constant
Soma Zaidi...Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App
Soma Zaidi...Umeshawahi kujiuliza Nini hasa tofauti kati ya deep web, surface web na dark web.
Soma Zaidi...Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass
Soma Zaidi...hapa ninakuletea vitu vya kuangalia unapotaka kununua kompyuta kwa ajili ya kufanyia programming. Ama kutengeneza software mbalimbali.
Soma Zaidi...Je umeshawahi kuweka post yako kwenye blog halafu ikachukuwa mpaka siku 3 kuonekana kwenye search engine kama Google, Index ama Bing. Bsi project ya IndexNow imekuja kutatuwa tatizo hilo
Soma Zaidi...