Watu wangi wnekuwa wakitumia meme, ila bila ya kujuwa nini hasa hizo meme. Na hasa Zina matumizi gani
Meme ni picha, video, au kipande cha maandishi kinachozungumzia jambo fulani kwa njia ya ucheshi au ya kejeli, na kinaenezwa haraka kupitia mitandao ya kijamii.
Mara nyingi memes huwa na ujumbe unaoeleweka kirahisi kwa hadhira maalum, na hutumika kama njia ya kujiburudisha au kuwasilisha maoni fulani kuhusu masuala ya kijamii, kisiasa, au kitamaduni.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Katika post hii utakwenda kujifunza hatuwa kwa hatuwa za ku download video za Youtube kwa haraka.
Soma Zaidi...Moja katika changamoto iliyowahi kusumbuwa dunia kutokana na maendeleo ya tehama duniani.
Soma Zaidi...Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi wa lugha zaidi ya 20 za kompyta.
Soma Zaidi...Umeshawahi kujiuliza Nini hasa tofauti kati ya deep web, surface web na dark web.
Soma Zaidi...Kuna server side language nyingi ikiwepo java, php, python, dart na nyinginezo nyingi. Hata hivyo PHp bado inaedelea kuwa maarufu.
Soma Zaidi...hapa ninakuletea vitu vya kuangalia unapotaka kununua kompyuta kwa ajili ya kufanyia programming. Ama kutengeneza software mbalimbali.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu maana ya kompyuta na tofauti yake kati ya kompyuta na simu jana.
Soma Zaidi...Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App
Soma Zaidi...Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass
Soma Zaidi...