Rafiki wa kweli kwa programmer
Ninutani lakini Kuna mafunzo, programmer wote hawatamsahau rafiki huyu
Kwa nini programmers hawatasahau fadhila za localhost?
Sababu ni rahisi:
Localhost ndiye aliyewaamini kabla hata code haijakamilika.
Alikuwa wa kwanza ku-run project yako hata kama ina bugs milioni.
Hakuhitaji password, token, wala SSL – alikukaribisha bila masharti.
Wakati wengine wote walirudisha "Access Denied", localhost alisema:
"Welcome, developer!"
Uki-break kila kitu, yeye hasemi chochote – anakaa kimya, anakusubiri urejeze ; yako tu.
Ukiandika DROP TABLE users, yeye hashtuki – anaamini unajua unachofanya (hata kama hujui).
Localhost ni rafiki wa kweli wa programmer:
anakusikiliza, anakuelewa, na hajawahi kukataa kupokea request yako.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 web hosting 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Jinsi ya Kuangalia App Zinazotumia Data Nyingi
Je, bando lako la intaneti linaisha haraka sana bila wewe kuelewa? Huenda kuna programu (apps) kwenye simu yako zinazomeza data kwa siri. Mwongozo huu rahisi utakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuzigundua apps hizo kwenye simu za Android na iPhone, na namna ya kuzizuia ili uokoe pesa zako.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kudhibiti Notifications za Simu
Je, simu yako inalia na kutatiza kila dakika? Mwongozo huu unakufundisha kwa lugha rahisi kabisa jinsi ya kuzima na kupanga taarifa (notifications) za simu yako ili uweze kufanya kazi zako kwa amani na kuokoa chaji ya simu yako.
Soma Zaidi...Namna ya kujilinda dhidi ya kudukuliwa kwa simu yako
Leo tutajifunza sababu zinazoifanya simu kuwa rahisi kudukuliwa na hatua madhubuti za kuzuia udukuzi. Tutazungumza kuhusu matumizi salama ya intaneti, usimamizi wa apps, usalama wa akaunti, pamoja na tabia muhimu za kujikinga.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kubadili Password ya Facebook
Je, unahisi nenosiri lako la Facebook si salama tena, au labda umesahau kabisa nenosiri unalolitumia? Kubadili nenosiri la Facebook ni hatua muhimu sana ya kiusalama ambayo kila mtumiaji anapaswa kuifahamu. Katika makala hii, tutakuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kubadili nenosiri lako kwa lugha rahisi, ili uweze kuimarisha usalama wa akaunti yako dhidi ya watu wasio na nia njema.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kutatua Tatizo la Wi-Fi Kutokufanya Kazi
Umeunganisha simu yako kwenye Wi-Fi lakini bado hauwezi kufungua WhatsApp, Facebook wala YouTube? Au labda jina la Wi-Fi halionekani kabisa kwenye simu yako? Hili ni tatizo la kawaida sana linalowakera watu wengi. Mwongozo huu unakupa mbinu rahisi sana na hatua kwa hatua za jinsi ya kurekebisha mtandao wa Wi-Fi uliogoma kufanya kazi. Tumeandika makala hii kwa lugha nyepesi kabisa ya Kiswahili, bila maneno magumu ya kitaalamu, ili kila mtu—hata wale ambao hawajasoma mambo ya teknolojia—waweze kuelewa, kufanya marekebisho wenyewe, na kurudi mtandaoni haraka iwezekanavyo bila kulazimika kumlipa fundi.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kushare Location
Makala hii inakufundisha maana ya kushare location na umuhimu wake katika usalama na urahisi wa mawasiliano. Tutakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutumia WhatsApp na Google Maps ili kumtumia mtu eneo lako halisi. Lengo letu ni kukuwezesha kutumia teknolojia hii kwa ujasiri ili usipotee au usipoteze muda kuelekeza watu njia.
Soma Zaidi...