Kama Bado unajiuliza u some language IPO ya kompyuta ili uweze kutengeneza App basi post hii itakusaidia.
Kwa ushauri kwa beginner:
Language hizi zisome
1. Kwanza naanza na Dart - flutter.
Unaposikia flutter hiyo sio language ni framework ambayo inatumia language ya Dart. Ubora kwa kutumia flutter ni kuwa app Moja unayotengeneza inaweza kuwa website, inaweza kuwa android app, inaweza kuwa apple app (iOS) inaweza kuwa desktop app (window app) inaweza kuwa Linux app ama zaidi ya hapo.
Ina maana kuwa ukijuwa Dart utaweza kutumia flutter vyema na kufanya vitu vingi kwa utahisi zaidi.
Bongoclass tumeweka course ya Dart imekamilika unaweza kupitia ni free. Pia wikiend hii panapo uhai tuaweka course ya flutter na tayari nimeshaanza kuandika maso">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu maana ya kompyuta na tofauti yake kati ya kompyuta na simu jana.
Soma Zaidi...hapa ninakuletea vitu vya kuangalia unapotaka kununua kompyuta kwa ajili ya kufanyia programming. Ama kutengeneza software mbalimbali.
Soma Zaidi...Moja katika changamoto iliyowahi kusumbuwa dunia kutokana na maendeleo ya tehama duniani.
Soma Zaidi...Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi wa lugha zaidi ya 20 za kompyta.
Soma Zaidi...Je umeshawahi kuweka post yako kwenye blog halafu ikachukuwa mpaka siku 3 kuonekana kwenye search engine kama Google, Index ama Bing. Bsi project ya IndexNow imekuja kutatuwa tatizo hilo
Soma Zaidi...Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass
Soma Zaidi...Hapa nitakwenda kukueleza njia ambazo naweza kuzituia ili kujifunza programming kwa urahisi
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza hatuwa kwa hatuwa za ku download video za Youtube kwa haraka.
Soma Zaidi...