Umeshawahi kujiuliza Nini hasa tofauti kati ya deep web, surface web na dark web.
Deep web, Dark web na surface web.
Surface web ni sehemu ya internet ambayo inaweza kufikiwa na search engine. Mara nyingi sehemu hii haihitaji mtu ku login.
Deep web ni sehemu ya internet ambayo haiwezi kufikiwa na search engine ksma google, bing, Yandex, yahoo n.k
Deep web ndio sehemu kubwa ya internet ambapo inakadiriwa inachukuwa asilimia 95 za internet yote.
Dark web ni kijisehemu kidogo cha deep web. Dark web ni sehemu ya internet ambayo haiwezi kufikiwa na browser hizi za kawaida. Pia search engine kama Google, Bong, Yandex, yahoo haiwezi kufika kwenye dark web.
Unaweza kuingia dark web Kwa kutumia Tor browser. Pia browser kama brave browser inakupa access ya kutumia Tor network. Hivyo Kwa kutumia brave browser unaweza kuingia dark web.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya constanta pamoja na matumizi yake. Pia utazijuwa sheria za uandishi wa constant
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza hatuwa kwa hatuwa za ku download video za Youtube kwa haraka.
Soma Zaidi...Kuna server side language nyingi ikiwepo java, php, python, dart na nyinginezo nyingi. Hata hivyo PHp bado inaedelea kuwa maarufu.
Soma Zaidi...Moja katika changamoto iliyowahi kusumbuwa dunia kutokana na maendeleo ya tehama duniani.
Soma Zaidi...Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi wa lugha zaidi ya 20 za kompyta.
Soma Zaidi...Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass
Soma Zaidi...Watu wangi wnekuwa wakitumia meme, ila bila ya kujuwa nini hasa hizo meme. Na hasa Zina matumizi gani
Soma Zaidi...Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu maana ya kompyuta na tofauti yake kati ya kompyuta na simu jana.
Soma Zaidi...