Bongoclass

PHP - somo la 48: Jinsi ya kuzuia hacking kwenye sytem ya kujisajili na ku login
FEATURED STORY

PHP - somo la 48: Jinsi ya kuzuia hacking kwenye sytem ya kujisajili na ku login

Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo utaweza kutengeneza mfumo wa kuisajiki na ku login, kisha kuangalia usalama wa mfumo kwa kuzuia sql injection....

Soma Makala

Makala Mpya

Mke wa Mtu Ep 4: Ushahidi wa Ajabu

Shahidi mmoja aliyekuwa kimya tangu mwanzo anasimama hadharani, akithibitisha kuwa kijana hakufanya dhambi yoyote. Hii inasababisha mabadiliko makubwa katika jamii......

Mke wa Mtu Ep 3: Lawama na Hila

Kijana anashikiliwa katika nafasi ya hatari. Wazee wa kijiji wanakusanyika kusikiliza kesi, lakini kila neno la mume wa dada linapandisha......

Virusi ni nini kwenye kompyuta?

Virusi vya kompyuta ni programu hasidi (malware) inayojishikiza kwenye faili au programu halali na kujiendesha pale faili hiyo inapofunguliwa. Virusi......

Worm katika kompyuta ni nini?

Katika kompyuta, worm ni aina ya programu hasidi (malware) inayojinakili yenyewe na kusambaa kupitia mitandao bila kuhitaji kushikamana na faili......

Server ni nini?

Server ni kompyuta au mfumo unaotoa huduma au rasilimali kwa kompyuta na vifaa vingine kupitia mtandao. Zinaweza kutoa huduma kama......

Tofauti ya RAM na ROM

RAM (Random Access Memory) na ROM (Read-Only Memory) ni aina za kumbukumbu kwenye kompyuta au vifaa vya kielektroniki, lakini zina......

Kotlin Somo la 27: Polymorphism

Somo hili linaeleza dhana ya polymorphism katika OOP ya Kotlin—uwezo wa kutumia method au object moja kufanya kazi tofauti kulingana......

Nini Hutumika Kujitwaharishia

Somo hili linaeleza kwa kina vifaa vinavyotumika kwa ajili ya twahara ya kisheria, vikiwemo maji safi (الماء الطهور), udongo (التراب......

About

Kuhusu Bongoclass

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.

Mchanganyiko