Bongoclass
Python somo la 36: Django framework - Utangulizi
FEATURED STORY

Python somo la 36: Django framework - Utangulizi

Ni nini maana ya django framework na inafanya kazi gani...

Soma Makala

Makala Mpya:

Jinsi ya Kutatua Simu Isiyowaka

Makala haya yameandaliwa kwa lugha rahisi ili kumsaidia kila mtumiaji wa simu kutatua tatizo la simu kutowaka. Tutaangalia sababu za......

Jinsi ya Kutatua Simu Isiyochaji

Simu yako ikikataa kuingiza umeme (kuchaji), usipaniki. Tatizo hili mara nyingi husababishwa na vitu vidogo kama uchafu kwenye tundu la......

Jinsi ya Kutumia Google Drive

Google Drive hukupa nafasi ya bure (GB 15) ya kuhifadhi vitu vyako. Tutajifunza jinsi ya kupakia mafaili, jinsi ya kuyapanga,......

Jinsi ya Kutumia Voice Recorder

Katika ulimwengu wa kidijitali, kurekodi sauti imekuwa njia muhimu ya kuhifadhi kumbukumbu, kufanya mahojiano, au hata kuandaa maudhui ya blogu......

About

Kuhusu Bongoclass

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.

Mchanganyiko