Hadithi Ya 37: Allaah Kaviandika Vitendo Vyema Na Vibaya
Hadithi Ya 37: Allaah Kaviandika Vitendo Vyema Na Vibaya
الحديث السابع والثلاثون
عَن ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا عَنِ النبي صلى الله عليه وسلم فِيْمَا يَرْوِيْهِ عَنْ رَبِّهِ تَبَارَكَ وَتَعَالى أَنَّهُ قَالَ:
(إِنَّ الله كَتَبَ الحَسَنَاتِ وَالسَّيئَاتِ ثُمَّ بَيَّنَ ذَلِكَ؛ فَمَنْ هَمَّ بِحَسَنَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ عَشْرَ حَسَنَاتٍ إِلَى سَبْعِمائَةِ ضِعْفٍ إِلىَ أَضْعَاف كَثِيْرَةٍ. وَإِنْ هَمَّ بِسَيِّئَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ سَيِّئَةً وَاحِدَةً)
رَوَاهُ البُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ في صَحِيْحَيْهِمَا بِهَذِهِ الحُرُوْفِ
HADITHI YA 37 ALLAAH KAVIANDIKA VITENDO VYEMA NA VIOVU
Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas رضي الله عنهما kapokea kutoka kwa Mtume صلى الله عليه وسلم amesema kutokana na yale aliyoyapokea kutoka kwa Mola wake Aliyetukuka, kwamba Kasema: ((Hakika Allaah Ameviandika vitendo vyema na viovu, kasha Akavibainisha. Basi atakayeazimia kufanya tendo jema kisha asiweze kulifanya, basi Allaah Atamwandikia ujira wa tendo jema lililokamika. Na ikiwa aliazimia kulifanya kisha akalifanya, basi Allaah Atamwandikia (Atamlipa) ujira mara kumi hadi mara mia saba na zaidi ya idadi hiyo.
Na atakayeazimia kufanya tendo ovu kisha asilifanye, Allaah Atamwandikia (Atamlipa) ujira mmoja, na endapo atalifanya tendo
Imesimuliwa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa herufi hizi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Jinsi ya kuzuru makaburi na dua unazotakiwa kuzisoma ukiwa makaburini.
Posti hii inakwenda kukufundisha maneno unayotakiwa kuyasema unapozuru makaburi.
Soma Zaidi...Faida za Kusoma Surat Al-Mulk
Surat Al-Mulk (Sura ya 67 katika Qur’an) inajulikana kama sura yenye baraka nyingi na kinga kubwa kwa msomaji wake. Katika makala hii, tunaangazia siri za kiroho, faida za kusoma sura hii kila usiku, na jinsi inavyomkinga Muislamu na adhabu za kaburi. Pamoja na hayo, tutaangazia mafunzo ya kimaadili yanayopatikana ndani ya sura hii yenye aya 30.
Soma Zaidi...Dua za kuomba wakati unapokuwa na hasira ama ukiwa umekasirika
Post hii itakueleza ni dua gani unatakiwa uzisome wakati unapokiwa na hasira ama pale unapokasirika.
Soma Zaidi...