Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kupiga push up kiafya, ni mambo au faida zipatikanazo ki afya kwa wapigaji wa push up kama ifuatavyo.
Umuhimu wa kupiga push up kiafya.
1 uboreshaji wa mkao na mwonekano wako.
Kwa sababu kila sehemu ya mwili uwa kwenye mpangilio wake ndio maana ukifuatilia wapigaji wa push up wako vizuri ki mipangilio kwa sehemu zote za mwili.
2. Uimarisha misuli.
Kwa kawaida wapigaji wengi wa push up wanakuwa wameimarika kwa misuli yao kwa sababu ya kupiga push up kila siku kwa hiyo hata kama akiumia uchukua mda mfupi kupona kwa sababu ya misuli yake kuwa imara.
3. Uimarisha pia mifupa .
Kwa sababu ya kupiga push up kila siku mifupa uimarika kabisa na kuwa imara.
4. Uongezeka kifua
Misuli ikiboreshwa umbo la kifua nalo uongezeka kwa hiyo ulifatilia sana wapiga push up huwa na vifua vikubwa.
5. Usaidia kupunguza uzito.
Kwa kupiga push up uzito unaweza kupungua kwa sababu mafuta na nyama zote uyeyuka kwa sababu ya kuwepo kwa upigaji wa push up kila siku.
6. Uondoa maumivu ya mgongo.
Kwa sababu ya kuwepo kwa push up misuli ambayo imo mgongoni nayo inawezekana kunyooka na kusababisha maumivu ya mgongo kupungua.
7. Uweka viungo vya mwili kwenye usawa.
Kwa sababu ya kuwepo kwa push up kila mara viungo vyote unyooka na kuwa kwenye hali yake ya kawaida.
8. Push up uweka tumbo kwenye mpangilio mzuri yaani kwenye six - parks na mwonekano wa tumbo huwa kawaida
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho.
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea mfumo wa damu mwilini na safari zake za Kila siku
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sheria za kutunza usafi wakati wa upasuaji, iwapo sheria mojawapo ikienda kinyume ijulikane kuwa usafi haujaenda sawa na pengine kwa kitaalamu huitwa contamination.
Soma Zaidi...