Katika post hii utakwend akujifunza kuhusu tatizo la kuwa na vijiwe kwenye ini vijiwe hivi hufahamika kama intrahepatic stones.
Utangulizi
Mawe ya ini, yanayojulikana pia kama mawe ya intrahepatic, ni mawe yanayojitokeza ndani ya mirija ya bile ya ini. Hali hii ni sawa na mawe ya nyongo, lakini tofauti ni kwamba haya yanapatikana ndani ya ini. Mawe haya yanaweza kusababisha dalili mbalimbali na matatizo makubwa. Makala hii itachambua kwa kina sababu, dalili, na matibabu ya mawe ya ini kwa lugha ya kitaalamu.
Sababu za Mawe ya Ini
Dalili za Mawe ya Ini
Uchunguzi na Matibabu
Chaguzi za Matibabu
Mwisho:
Katika makala inayofuata tutakwenda kujifunza kuhusu vijiwe kwenye nyingo. Somo hili tumeliweka katika masomo ya ini kwa sababu kuna mahusiano makubwa kati ya ini na nyingo pia ni viungo vilivyokaribu karibu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Pindi malaria isipotibiwa inaweza kufanya dalili ziendelee na hatimaye kusababisha kifo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia kuaribika kwa figo, hizi ni njia zinazotumika ili kuweza kupunguza tatizo la kuaribika kwa figo na hasa wale ambao hawajapata tatizo hili wazitumie ili tuone kama tutaweza kupunguza tatizo hili.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia mtoto akiwa na ugonjwa wa UTI.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu visababishi vya vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina za kansa, Kansa ni Aina ya ugonjwa unaosababishwa na kuzaliana kwa seli ambazo sio za kawaida.
Soma Zaidi...Kifua kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza na anuwai ya magonjwa ya kiafya yanayosababishwa na Mycobacterium tuberculosis complex. Kwa binadamu sababu ya kawaida ni Mycobacterium tuberculosis.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya watu walio hatarini kupata fangasi
Soma Zaidi...Pumu ni ugonjwa wa njia ya upumuaji unaojulikana na kizuizi cha muda mrefu cha njia ya upumuaji. Inahusisha mfumo wa upumuaji unaobana njia ya hewa, Inaweza kuwa ya nje (hii hutokea kwa vijana kutokana na mizio) au ya ndani (hutokea kwa wazee)
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye mrija wa mkojo, maambukizi haya usababishwa na virusi na bakteria.
Soma Zaidi...Seli ni chembechembe hai ambazo zimo ndani ya mwili wa binadamu na hufanya kazi mbalimbali kwenye mwili, binadamu hawezi kuishi bila seli.
Soma Zaidi...