Suakri ya mashairi ni kitabu kilichosheheni mashairi ya kusisimua katika kuelimisha na kuburudisha. Kutana na HD-Hassan mtunzi mahiri chipkizi katika fani hii. Pata vitabu vyake bure na kwa beipoa tuu. Wasiliana nae WhatsApp +255655832944 au 0620555380
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...NDEGE WAFIKISHE Hebu paa ndege paa, ufise habari hizi, Ufike wanako kaa, imi kufika siwezi, Paa bila kuzubaa, upae anga iwazi Naujumbe huu twaa, tekeleza hiikazi, Kawa pe utawafaa, wata po fa nyia kazi Kwa watakaokataa, usifanye lazimizi, Wambie lama
Soma Zaidi...Sababu ya neno lako, nasema nimesikia,Sababu ya neno lako, nasema hongera pia,Sababu ya neno lako, nishajua yakonia,Wasema afukuzwae, sihadi pasemwe toka,Sababu ya neno lako, maumivu yanijia,Sababu ya neno lako, nami leo nakwambia,Sababu ya neno lako, sit
Soma Zaidi...