ndege wafikishe

ndege wafikishe

NDEGE WAFIKISHE Hebu paa ndege paa, ufise habari hizi, Ufike wanako kaa, imi kufika siwezi, Paa bila kuzubaa, upae anga iwazi Naujumbe huu twaa, tekeleza hiikazi, Kawa pe utawafaa, wata po fa nyia kazi Kwa watakaokataa, usifanye lazimizi, Wambie lama

ndege wafikishe

NDEGE WAFIKISHE
Hebu paa ndege paa, ufise habari hizi, Ufike wanako kaa, imi kufika siwezi, Paa bila kuzubaa, upae anga iwazi Naujumbe huu twaa, tekeleza hiikazi, Kawa pe utawafaa, wata po fa nyia kazi Kwa watakaokataa, usifanye lazimizi, Wambie lamanufaa, niwasihilo mtunzi, Elimu iso chakaa, ni ifanyiwayo kazi, Ili wawe mashujaa, waepuke upuuzi, Waache kata tamaa, katikalao amuzi Subira ikiwajaa, lilofichwa huja wazi, Shidani wakikomaa, lazima lije tatuzi, Wasivunje ujamaa, sababu yamachukizi, Wasiishi kwahadaa, nichukizo kwa mwenyezi, Nawaache kuzubaa, wafanyapo andalizi, Wambie elimu taa, kuikosa niajizi, Mwenye elimu hun'gaa, sioleo tangu juzi, Ujinga kizaazaa, mfano kama uchizi, Yasaba beti nakaa, sitaki uendelezi, Shikeni hayo kadhaa, yalainishe ulezi, Tungo hii nibidhaa, nawaipe mapokezi, Mtu nzi:H D.Hassa n Tanga pangani 0655832944




                   

📄 Download Post hii
Bongoclass
Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya hapa chini kuipakua sasa!

Zoezi la Maswali

Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Mashairi Main: Burudani File: Download PDF Views 808

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

Kitabu Cha  mashairi
Kitabu Cha mashairi

Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.

Soma Zaidi...
SABABU YA NENO LAKO
SABABU YA NENO LAKO

Sababu ya neno lako, nasema nimesikia,Sababu ya neno lako, nasema hongera pia,Sababu ya neno lako, nishajua yakonia,Wasema afukuzwae, sihadi pasemwe toka,Sababu ya neno lako, maumivu yanijia,Sababu ya neno lako, nami leo nakwambia,Sababu ya neno lako, sit

Soma Zaidi...