DONDOO 100 ZA AFYA

DONDOO 100 ZA AFYA
Utangulizi

Huu ni mkusanyoko wa mambo 100 yanayohusu Afya zetu kwa ujumla. mambo haya ni muhimu kuyajua ili kuweza kuhakikisha unalinda afya yako ipasavyo. tumeyaandiuka mambo haya katika lugha nyepesi zaidi ili kila mtumiaji aweze kuelewa.

Kitabu hiki kimesheheni mambo 100 kuhusu afya. Unaweza kusema kanuni 100 za Afya. Kitabu hiki kimerahisishwa kwa urahisi zaidi na kimetumia lugha ya kiswahili iliyo nyepesi zaidi. kitabu hiki kimeandaliwa kutoka kwenye marejeo mbalimbali ya vitabu vya afya pamoja na kauli za wataalamu wa afya.

Tunatarajia kuwa msomaji wetu utafaidika zaidi. Dondoo 100 za afya ni kitabu kilichorahisishwa kwa matumizi ya nyumbani na kwa matumizi ya kusomwa kwa kwakubwa na watoto pia.

Ukiwa na maswali, maoni au mapendekezo haraa wasiliana nasi kwa mawasiliano ya hapo chini. Pia kwa yeyote atakayeona kosa ndani ya maandishi haya awasiliane na sisi kwa haraka ili kuzuia kuenea kwa makosa zaidi.

Kitabu hiki unaweza kukidownload kutoka kwenye tovuti yetu hii, au unaweza kukipata kwenye maktaba ya google ya kuwekea vitabu yaani google book https://books.google.com. Pia unaweza kupata kitabu hiki ukiwa na App yetu unayoweza kuipata kwenye tovuti yetu hii.

Imeandaliwa na kuandikwa na:
Mwl. rajabu Athuman
Email: [email protected]
phone: 0620555380› WhatsApp ‹ Whatsapp