SABABU YA NENO LAKO

SABABU YA NENO LAKO

Sababu ya neno lako, nasema nimesikia,Sababu ya neno lako, nasema hongera pia,Sababu ya neno lako, nishajua yakonia,Wasema afukuzwae, sihadi pasemwe toka,Sababu ya neno lako, maumivu yanijia,Sababu ya neno lako, nami leo nakwambia,Sababu ya neno lako, sit

SABABU YA NENO LAKO

SABABU YA NENO LAKO

Sababu ya neno lako, nasema nimesikia, Sababu ya neno lako, nasema hongera pia, Sababu ya neno lako, nishajua yakonia, Wasema afukuzwae, sihadi pasemwe toka, Sababu ya neno lako, maumivu yanijia, Sababu ya neno lako, nami leo nakwambia, Sababu ya neno lako, sitoweza kurudia, Ndege unae muinga, hujua pakukimbia, Sababu ya neno lako, sisiri nimeumia, Sababu ya neno lako, mengi sasa najutia, Sababu ya neno lako, najibadili tabia, Pilau bila viungo, pishi halijatimia, Sababu ya neno lako, sitoweza kukawia, Sababu ya neno lako, sasa nabadili nia, Sababu ya neno lako, nimesha kushitukia, Muwinda simba kwafimbo, maisha kayachukia, Sababu ya neno lako, nilitamani kulia, Sababu ya neno lako, sikuweza vumilia, Sababu ya neno lako, shairi nakutungia, Tamu ya ndimu sikula, hunoga haswa supuni, Sababu ya neno lako, jibu nimejipatia, Sababu ya neno lako, siwezi kun'gan'gania, Sababu ya neno lako, kwengine nita hamia, Baharia simkwezi, namkwezi sikwa mbizi, Sababu ya neno lako, ngazi nishaiachia, Sababu ya neno lako, waje wengine kungia, Sababu ya neno lako, haya nimedhamiria, Sitojali mambo yako, chochote sito kwambia. (inakuhusu) by HD.Hassan




                   

📄 Download Post hii
Bongoclass
Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya hapa chini kuipakua sasa!

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Mashairi Main: Burudani File: Download PDF Views 670

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Kitau cha Fiqh    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana:

Kitabu Cha  mashairi
Kitabu Cha mashairi

Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.

Soma Zaidi...
ndege wafikishe
ndege wafikishe

NDEGE WAFIKISHE Hebu paa ndege paa, ufise habari hizi, Ufike wanako kaa, imi kufika siwezi, Paa bila kuzubaa, upae anga iwazi Naujumbe huu twaa, tekeleza hiikazi, Kawa pe utawafaa, wata po fa nyia kazi Kwa watakaokataa, usifanye lazimizi, Wambie lama

Soma Zaidi...