Soma dua mbalimbali za kila siku ambazo unatakiwa uzijuwe. Dua 120 ambazo muislamu anatakiwa kuzijua
BAADHI YA DUA ZA KILA SIKU.
Hizi ni dua ambazo zimekusanya mambo ya duniani na akhera. Yaani muombaji dua hizi atanufaika kwa mambo ya kidunia na akhera. Dua hizi ni zenye kujibiwa na hazichagui muda. Nidua ambazo zinaombwa wakati wowote ule. Hizi ni dua ambazo Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
alikuwa akizipenda sana kuzitumia.
1.Dua ya kuomba kheri duniani na akhera. Amesimulia Anas ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa alikuwa mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
alikuwa akioma sana dua hii โALLAHUMMA RABBANAA AATINAA FII DUNIYAA HASANA WAFIL-AAKHIRAT HASANA WAQINAA โADHAABAN-NAARIโ (amesimulia Bukhari,Muslim na Abuu Daud).
2.Dua za kutaka maghafira (msamaha). Amesimulia Abuu Musa ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa alikuwa Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
akiomba dua hii โALLAHUMMA IGHFIR LII KHATWII-ATII, WAJAHLII, WAISRAAFII FII-AMRII, WAMAA ANTA AโALAMU BIHI MINNII. ALLAHUMMA IGH-FIR LII JUDDII, WAHAZLII, WAKHATWAII, WAโAMDII, WAKULLA DHALIKA โINDII. ALLAHUMMA IGH-FIRLII MAA QADDAMTU, WAMAA AKHARTU, WAMAA ASRARTU, WAMAA AโALANTU, WAMAA ANTA AโALAMU BIHI MINNII. WA ANTAL-MUAKHIRU, WAANTA โALAA KULLI SHAI-IN QADIIRโ (amepokea Bukhari).
3.Dua ya kuomba rehma na rizki. Amesimulia Saโad ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa alikuja mtu mmoja kwa Mtume akamwambia ewe mtume nijulishe maneno niwe ninayasema. Mtume akamwambia sema โLAA ILAAHA ILLA LLAHU WAHDAHU LAA SHARIKA LAHU. ALLAHU AKBARU KABIIRAA WAL-HAMDU LILLAHI KATHIIRAA WASUBHAANA LLAHI RABBIL-โALAMIINA LAAHAULA WALAA QUWATA ILLAA BILLAHIL-โAZIZIL-HAKIIMโ akasema Mtu yule kumwambia mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
โmaneno haya ni kwa ajili ya Allah je! Ni yapi yatakuwa kwa ajili yangu? Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
akamwambia sema โALLAHUMMA IGH-FIR LII WARHAMNII, WAHDINII WARZUQNIIโ (amepokea muslim).
4.Dua ya kujikinga na upotovu. Amesimulia Ibn โAbas ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
alikuwa akisema โALLAHUMMA LAKA ASLAMTU, WABIKA AAMANTU, WAโALAIKA TAWAKALTU, WAILAIKA ANABTU WABIKA KHAASWAMTU. ALLAHUMMA INNII AโUDHUBIKA BIโIZZATIKA LAA ILAAHA ILLA ANTA AN TUDHWILLANII ANTAL-HAYUL-LADHII LAA YAMUUTU WALJINNU WAL-INSU YAMUUTUUNAโ. (amepokea Muslim).
5.Dua ya kutaka hifadha kwa Allah katika mambo ya dunia na akhera. Amesimulia Ibn โAbas ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa alikuwa Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
akiomba dua (hii): โRABBI AโINNII WALA TUโIN โALAIYA WANSURNII WALAA TANSUR โALAIYA WAMKUR LII WALAA TAMKUR โALAIYA WAHDINII WAYASIRIL-HUDAA LII WANSURNII โALAA MAN YUGH-NII โALAIYA. RABBI IJโALNII SHAKRAA LAKA DHAKAARAA WAHAABAA LAKA MUTWAWAA LAKA MUKHBITAN ILAIKA AWAHAN MUNIIBAA. RABBI TAQABBAL TAUBATII WAGH-SIL HAUBATII WAJIB DAโAWATII WATHABIT HAJATII WASADID LISAANII WAHADI QALBII WASLUL SAKHIIMATI SWADRIIโ. (amepokea Tirmidh na Abuu daud kwa isnad sahihi).
6.Dua ya wakati wa kulala na kuamka.amesimulia Abuu Dhar ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa alikuwa Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
pindi anapotaka kulala usiku huweka mkono wake chini ya kitefute chake kisha husema โBISMIKALLAHUMMA AHYAA WA AMUTโ na anapoamka husema โALHAMDU LILLAHI LADHII AHYAANAA BAโADA MAA AMAATANAA WAILAIHN-NUSHUURโ. (amepokea Ahmad Bukhari na musmlim).
7.Dua wakati wa kuvaa nguo. Amesimulia Ibn Saโid ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa alikuwa Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
anapovaa nguo au kanzu au msuli au kilemba husema โALLAHUMMA INNII AS-ALUKA MIN KHAIRIHI WAKHAIR MAA HUWA LAHU WA AโUDHUBIKA MIN SHARI WASHARI MAA HUWA LAHUโ
8.Dua wakati wa kutoka nyumbani. Amesimulia Anas ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa amesema Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
Mwenyekusema pindi anapoingia nyumbani kwake โBISMILLAHI TAWAKALTU โALAA LLAHI WALAA HAULA WALAA QUWATA ILLAA BILLAHโ huambia โumetoshelezewa, umeongozwa na umekingwa na shetaniโ (amepokea Abuu Daud n Tirmidh).
9.Dua wakati wa kuingia nyumbani amesimulia Anas ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa Mtume alimwabia โewe kijana changu utakapoingia kwa ahalizako (nyumbani kwako) salimia (yaani toa salamu โASALAAMU โALYKUM WARAHMATUL-LLAHI WABARAKAATUHโ) itakuwa ni baraka kwako na kwa ahalizakoโ. (amepokea Tirmidh).
10.Dua ya wakati wa kuingia chooni. Amesimulia Anas ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa alikuwa Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
anapoingia chooni husema โBISMILLAHI ALLAHIMMA INNII AโUDHUBIKA MINALKHUBUTH WALKHABAAITHIโ. (amepokea Bukhari Muslim).
11.Dua wakati wa kutoka chooni. Amesimulia ibn โUmar ุฑุถูุงููู ุนูู kuwa alikuwa mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
anapotoka chooni husema โGHUFRAANAKA ALHAMDU LILLAHI LLADHII ADH HABA โANNIL-ADHA WAโAF โANNIโ (amepokea Tirmidh na Abuu Daud).
ADHKARI MBALIMBALI NA DUA
Hapa tutajifunza dua mbalimbali ambazo ni adhkari. Tutajifunza pia na faida zake kama Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
alivyozungumza na masahaba zake.
1.amesema Mtume"โ ุฃูููุถููู ุงูุฐููููุฑู ูุงู ุฅููููู ุฅููุงูู ุงูููููู ููุฃูููุถููู ุงูุฏููุนูุงุกู ุงููุญูู
ูุฏู ููููููู โ"โ โbora ya dhikir ni kusema Lฤ ilฤha illallฤh na bora ya dua ni kusema Al-แธฅamdulillฤhโ (amepokea Tirmidh).
2.Mtume ุตููู ุงููู ุนููู ูุณููู
amesema
"โ ู
ูุง ู
ููู ุนูุจูุฏู ููููููู ููู ุตูุจูุงุญู ููููู ููููู
ู ููู
ูุณูุงุกู ููููู ููููููุฉู ุจูุณูู
ู ุงูููููู ุงูููุฐูู ูุงู ููุถูุฑูู ู
ูุนู ุงุณูู
ููู ุดูููุกู ููู ุงูุฃูุฑูุถู ูููุงู ููู ุงูุณููู
ูุงุกู ูููููู ุงูุณููู
ููุนู ุงููุนููููู
ู ุซููุงูุซู ู
ูุฑููุงุชู ููููุถูุฑูููู ุดูููุกู โ"
โMja yeyote atakayesema โBismillฤh, alladhi lฤ yaแธurru ma`a ismihi shai'un fil-arแธi wa lฤ fis-samฤ', wa huwas-Samฤซ`ul `Alฤซmโ mara tatu kila asubuhi na jioni hatadhuriwa na kitu chochoteโ (Amepokea Tirmidh).
3.mtume amesema "โ ู
ููู ููุงูู ุญูููู ููู
ูุณูู ุฑูุถููุชู ุจูุงูููููู ุฑูุจููุง ููุจูุงูุฅูุณููุงูู
ู ุฏููููุง ููุจูู
ูุญูู
ููุฏู ููุจููููุง ููุงูู ุญููููุง ุนูููู ุงูููููู ุฃููู ููุฑูุถููููู โ"โ
โMwenye kusema jioni โRaแธฤซtu billฤhi rabban wabil-Islฤmi dฤซnan wa bi-Muแธฅammadin nabiyyanโ itakuwa ni haki kwa Allah kumridhiaโ (Amepokea tirmidh).
4.Mtume alimwambia al-baraa IBN โAazib kuwa โุฃููุงู ุฃูุนููููู
ููู ููููู
ูุงุชู ุชููููููููุง ุฅูุฐูุง ุฃูููููุชู ุฅูููู ููุฑูุงุดููู ููุฅููู ู
ูุชูู ู
ููู ููููููุชููู ู
ูุชูู ุนูููู ุงููููุทูุฑูุฉู ููุฅููู ุฃูุตูุจูุญูุชู ุฃูุตูุจูุญูุชู ููููุฏู ุฃูุตูุจูุชู ุฎูููุฑูุง ุชูููููู ุงููููููู
ูู ุฅููููู ุฃูุณูููู
ูุชู ููููุณูู ุฅููููููู ููููุฌููููุชู ููุฌูููู ุฅููููููู ูููููููุถูุชู ุฃูู
ูุฑูู ุฅููููููู ุฑูุบูุจูุฉู ููุฑูููุจูุฉู ุฅููููููู ููุฃูููุฌูุฃูุชู ุธูููุฑูู ุฅููููููู ูุงู ู
ูููุฌูุฃู ูููุงู ู
ูููุฌูุง ู
ููููู ุฅููุงูู ุฅููููููู ุขู
ูููุชู ุจูููุชูุงุจููู ุงูููุฐูู ุฃูููุฒูููุชู ููุจูููุจูููููู ุงูููุฐูู ุฃูุฑูุณูููุชู โ"โ โ
โje nikufundishe maneno utakayoyasema pindi atakapoliendea tandiko lako (kulala) na kama utakufa utakufa katika fitrah (uislamu) na ukiamka asubhi utakuwa umepambaukiwa katika kheri? Utasema โ'Allฤhumma innฤซ aslamtu nafsฤซ ilaika wa wajjahtu wajhฤซ ilaika, wa fawwaแธtu amrฤซ ilaika, raghbatan wa rahbatan ilaika wa alja'tu แบahrฤซ ilaika, lฤ malja'a [wa lฤ manjฤ] minka illฤ ilaik. ฤmantu bikitฤbikal-ladhฤซ anzalta wa binabiyyikal-ladhฤซ arsaltโ (Amepokea Tirmidh).
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukupa tahadhari juu ya mambo ya halali na mambo ya haramu.
Soma Zaidi...Zijuwe nyakati ambazo dua inakubaliwa kwa haraka zaidi. Zijuwe nyakati ambazo ukiomba dua hitakubaliwa.
Soma Zaidi...ุนููู ุฃูุจูู ุฑููููููุฉู ุชูู ููู ู ุจููู ุฃูููุณู ุงูุฏููุงุฑูููู ุฑูุถููู ุงูููู ุนููููู ุฃูููู ุงููููุจูููู ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู ููุงูู: "ุงูุฏููููู ุงููููุตู?...
Soma Zaidi...DUA ZA KUONDOA MAUMIVU MWILINI Katika uislamu Allah amejaalia dawa katika kufuata sunnah.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukifundisha nibhali zipi ukiwa nazo, basi dua yako kuhubaliwa kwa urahisi.
Soma Zaidi...Historia ya uandishi wa hadithibwakati wa Matabiina, yaani wafuasi wa maswahaba
Soma Zaidi...HAdithi hii itakufundisha namna ambavyo mwanadamu anapitia hatuwa mbalumbali tumboni mwa mama yake
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha matamshi ambayo mtu akiyatamka Allah hujibu dua hiyo kwa urahisi.
Soma Zaidi...