Umeionaje Makala hii.. ?
Ingawa nyoka hawana masikio ya nje kama binadamu na wanyama wengine, bado wana uwezo wa kusikia. Hutumia mifupa ya kichwa na viungo vya ndani kutambua mitetemo kutoka ardhini na mawimbi ya sauti yenye mzunguko mdogo.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea sifa za mnyama anayekwenda mbio zaidi
Soma Zaidi...