PHP

picha
PHP SOMO LA 67: PROJECT YA CUDE OPERATON WA UTUMA OOP NA PDO

Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PDO. crude operation inahusu create, read, update. Delete.
picha
PHP - SOMO LA 62: PROJECT YA CRUDE OPERATION KWA KUTUMIA PHP - OOP NA MYSQL DATABASE

Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database.
picha
PHP BLOG - SOMO LA 12: JINSI YA KUTUMIA PREPARED STATEMENT KWENYE KUSOMA POST ZA BLOG

Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
picha
PHP BLOG - SOMO LA 11: JINSI YA KUTUMIA PREPARED STATEMENT

Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama njia ya kuzuia sql ingection kwenye PHP blog
picha
PHP BLOG - SOMO LA 10: JINSI YA KUFANYA SANITIZATION

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
picha
PHP BLOG - SOMO LA 9: JINSI YA KU EDIT POOST

Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
picha
PHP BLOG - SOMO LA 8: JINSI YA KUFUTA POST KWENYE DATABASE

katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
picha
PHP BLOG - SOMO LA 7: JINSI YA KUTENGENEZA UKURASA WA KUSOMA POST KWENYE BLOG

HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
picha
PHP BLOG - SOMO LA 6: JINSI YA KUTENGENEZA DASHBOARD KWA AJILI YA BLOG

katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
picha
PHP BLOG - SOMO LA 5: JINSI YA KUANDIKA CODE ZA PHP KWA AJILI YA KUWEKA POST KWENYE BLOG

Katika ukurasa huu utakwenda kujifunz jinsi ya kuandika code za php kwa ajili ya kutuma post yetu kwenye blog.
picha
PHP BLOG - SOMO LA 4: JINSI YA KUTENGENEZA UKURASA KWA AJILI YA KUPOST

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
picha
PHP BLOG - SOMO LA 3: JINSI YA KUTENGENEZA TABLE KWENYE DATABSE KWA AJILI YA BLOG

Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
picha
PHP BLOG - SOMO LA 2: JINSI YA KUTENGENEZA DATABASE NA KUIUNGANISHA KWENYE BLOG

Katika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na kuungansha kwenye blog yetu.
picha
PHP BLOG - SOMO LA 1: UTANGULIZI NA JINSI YA KUANDAA KWA AJILI YA SOMO

Katika course hii utakwenda kujifundisha jinsi ya lutengeneza blog kutoka mwanzo hadi mwisho.
picha
PHP - SOMO LA 48: JINSI YA KUZUIA HACKING KWENYE SYTEM YA KUJISAJILI NA KU LOGIN

Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo utaweza kutengeneza mfumo wa kuisajiki na ku login, kisha kuangalia usalama wa mfumo kwa kuzuia sql injection.
picha
PHP - SOMO LA 40: JINSI YA KUTUMIA HTACCESS FILE KUBADILISHA MUONEKANO WA LINK

Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili kubadili muonekano wa link ya website ama blog ili kuifanya iwe rafiki zaidi.
picha
PHP - SOMO LA 26: JINSI YA KUTENGENEZA SYSTEM YA KU CHAT KW AKUTUMIA PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza system ambayo mta atajisajili pamoja na kuchat na watumiaji wengine
picha
PHP - SOMO LA 12: JINSI YA KUFANYIA KAZI TAARIFA ZILIZOKUSANYWA KUTOKA KWA MTUMIAJI

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia taarifa ambazo zimekusanywa kutoka kwa mtumiaji ili kuweka kutatuwa hoja mbalimbali