Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Kujuwa jinsi ya kufanya sanitization rudia tena somo la sita mafunzo ya PHP level 3 [1]. Pia rejea mafunzo haya kwa njia ya video kwenye channel yetu ya youtube yenye jina tehama-tz.(cheki link hii).
Hapa nitakuletea mabadiliko ya code kwenye mafaili baada ya kufanyiwa sanitization, tafadhali rejea mafunzo haya kwa nia ya video ili kupata maelekezo zaidi
1. post.php
// form variables
$title = filter_var($_POST['title'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$summary = filter_var">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya encryption na decryption kwa kutumia PHP. hii itakusaidia kuongeza usalama kwenye taarifa za watu
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function za PHP kama require() na iclude()
Soma Zaidi...Katika somo hili uttakwend akujifunz ajinsi ambavyo utaweza kutengeneza simple ORM yakwako mwenyewe
Soma Zaidi...katika somo hili utajifunza jinsi ya ku upload multiple file yaani mafaili mengi kwa wakati mmoja kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza aina za http header na server variable. Hapa tutakwenda kuchambuwa mgawanyiko wa httpheader na kazi zake.
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu content-type header.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kupangilia data wakati wa kuzisoma kwenye database kw akutumia PHP
Soma Zaidi...