katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
Tengeneza faili lingine kisha liite delete.php kisha copy code za hapo chini na upest kwenye hili faili. Faili hili litapokea id ya hiyo post unayotaka kuifuta. kisha tutatumia select ili kupata jina la picha inayohusu hilo faili.
Baada ya kupata jina la hiyo picha, kwanza kabisa tutaanza kufuta hiyo picha na baada ya hapo ndipo tutakwenda kufuta post kwenye database.<">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia php function ya email()
Soma Zaidi...Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye website yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kudhibiti error ambazo zinaweza kutokea wakati wa ku encode na ku decoe json data
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu content-type header.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye database. Kisha utajifunza jinsi ya kulisoma faili hilo kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye dtabase kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...