katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
ukurasa huu ni sawa na kusema admin panel. hapa ndipo ambapo utakwenda kudhibiti post zote.
tengeneza faili liite dashboard.php kisha ndani yake kopi code hizi hapo chini
<html>
<head>
<title>Dshboard</title>
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1">
<style>
table, th, td {
border:1px solid black;
}
.dol{
margin: 0 auto;
max-width: 70%;
}
</style>
</head>
<body>
<h1><a href="post.php">Ongeza post</a> </h1>
<table>
<tbody>
<th>id</th>
<th>Image</th>
<th>">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM
Soma Zaidi...Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kukusanya taarifa ambazo watu wamezijaza kwa kutumia fomu ya html. Kisha utajifunza jinsi ya kuzisoma hizo taarifa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuona namna ya kutuia if else kwenye data zilizopo kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...katika somo hili utajfunza kukusanya taarifa za mafaili. kisha ku upload hayo mafaili. kisha kuandika hizo taarifa za mafaii kwenye database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina ya header inayoitwa Content-Disposition
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na jinsi zinavyoweza kufanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Soma Zaidi...