Katika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na kuungansha kwenye blog yetu.
Katika mafunzo ya PHP level 2 tulishajifunza jinsi ya ku unganisha database kwa kutumia njia 2 [1] ambazo ni MySQLi na PDO. Sasa katika somo hili tutakwenda ku tengeneza database pamoja na ku connect.
Rudia mafunzo yetu endapo utapatwa na changamoto yeyyote kuhusu ku connect database.
1. Kwanza tutaandaa variable zitakazotumika kwenye faili letu:
$server_name = "localhost";
$user_name = "root";
$database_name = "my_blog";
$password = "";
2. tutaanza na kuunganisha server. Tutatumia function ta mysqli_connect()
$conn = mysqli_connect("$server_name", "$user_name", "");
3. Kisha tutatumia if() ili kunagalia kama tumeunganishwa
if ($conn) {
echo "Umeunganishwa" . '
';
} else {
echo "Hujaunganishwa" . "
";
}
4. baada ya hapo tutaelekea kutengeneza database. Ingia kwenye PHP MYADMIN kwenye sever yako kisha tengeneza database iite my_blog. Pia unaweza kutengeneza database kwa kutumia code za php hapa tutatumia IF NOT EXISTS ili kuangalia kama database haipo ndipo tutengeneze lakini kama ipo hakuna haja ya kutengeneza.
$sql = "create database IF NOT EXISTS $database_name";
Mapaka kufikia hapo utakuwa ">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ya kuandika query ndani ya ORM. Hii inakupa uhuru wa kufanya kileunachotaka bila ya kuathiri usalama wa project
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika while loop kwenye PHP
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...