Katika ukurasa huu utakwenda kujifunz jinsi ya kuandika code za php kwa ajili ya kutuma post yetu kwenye blog.
tengeneza faili jingine liite post_script.php faili hili litakuwa na kazi ya kupokea data kutoka kwenye faili la post.php kisha kuziingiza data hizo kwenye database. ksha tengeneza folda liite upload tutatumia folda hili kuhifadhi picha zetu
1. kwanza tutaanza na kuinclude fail la confg.php kwa ajlli ya kuunanisha na database.
2. kisha tutatumia $_POST[''] kwa ajili ya kupokea data kutoka kwenye html form
3. baada ya hapo tutatumia $_FILE kwa ajili ya kupokea data za faili la picha
4. baada ya kukusanya taarifa zote muhimu tutaelekea kwenye kuingiza data kwenye database
5. mwisho tuta upload faili kwenye folda la upload.
CODE ZOTE HIZO HAPO CHINI
include "config.php";
if (isset($_POST['submit'])) {
//start code
// form variables
$title = $_POST['title'];
$summary = $_POST['summary'];
$content = $_POST['content'];...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya kutumia ORM kwa kutumia library ya RedBeanPHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Maana ya JSON na sheria za kuandika faili la json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kukusanya taarifa za watumiaji kwa kutumia html form.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku update na kufuta data kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...atika somo hli tutakwenda kujifunza kuhusu kitu kinachitwa cron job. ni moja ya teknolojia zinazotumika kufanya kazi zinazofanyika automatic
Soma Zaidi...katika somo hili utajifunza jinsi ya ku upload multiple file yaani mafaili mengi kwa wakati mmoja kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...