Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili kubadili muonekano wa link ya website ama blog ili kuifanya iwe rafiki zaidi.
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu kutengeneza friendly url, yaani link iliyo rafiki kwa matumizi ya website na blog. Link iliyo rafiki kwa SEO. Katika somo hili tutaendelea kutumia ile blog yetu tulioitengeneza kwenye somo la 11.
Kufanya friendly url.
Friendly url ni link iliyo rafiki kiusalama na kwenye SEO. angalia mfano kwenye ile blog yetu link ya kwenye post ipo hvi http://localhost/web/view.php?id=2 sasa hapa tunataka kuondoa hivyo view.php?id=2 tufanye kitu ambacho ni rafiki kama http://localhost/web/2-alama-za-barabarani hapo tutaondoa empty space katikati nimezibadili kw akuweka alama ya “-”. Id 2 ipo kama mwanzo. Tutaendelea kuitmia ili somo letu liwe rahisi zaidi na bado usalama uendelee kuwepo.
Sasa hatuwa ya kwanza ni kuondoa view.php?id= tunakwend akubadili kipengele hiki kabisa ili url iwe http://localhost/web/2 ili kufanya hivi tunatakiwa tuweze kutumia .htaccess file. Huwenda hii ndio mara yako ya kwanz akusikia hiki kitu .htaccess, ama tayari unatambuwa, basi hapa nitakujuza zaidi.
.htaccess ni nini?
Ni kifupisho cha maneno hypertext access hili ni faili ambalo linafanya configuratio kwenye web yake katika folda husika. Yaani linaweza kufanya stting khusu website yako. Lenyewe linaandikwa kwa lugha ya apache language ama derective. Hata hivyo hapa hatutajifunza hiyo language, wala syntax za htaccess. Lengo hapa utajifunza ili tuweze kufanikisha lengo la somo letu.
Htaccess inaweza kufanya haya:
Kubadilisha link ya faili husika
Kublock upatikanaji wa baadhi ya mafaili
Kubadili file extension kwa mfano .html likasomeka kama .php
Ku redirect url
Kuondosha baadhi ya vitu usivyovitaka kwenye link.
Sisi hapa hasa tunahitaji hiyo namba 5, ambapo tutakwenda kuondosha view.php?id=2 kwenye url.
Hatuwa za kutengeneza .htaccess
Tengeneza faili kwenye root folda. Root folda ni folda ambalo lina website yako.
Hilo file liite.htaccess huna haja ya kuweka extension yeyote
Hatuwa inayofuata ni kuweka ON liho file. Mwanzo kabisa weka code hii RewriteEngine on
Ili kujweza ku comment utaweka alama ya reli # mwanzoni mwa conmment yako.
Ingia kwenye faili la index">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PDO. crude operation inahusu create, read, update. Delete.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza class na object. Tunakwenda kutumia mfano wetu wa hapo juu kwa ajili ya kukamilisha somo hili.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia taarifa ambazo zimekusanywa kutoka kwa mtumiaji ili kuweka kutatuwa hoja mbalimbali
Soma Zaidi...Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
Soma Zaidi...Katika somo il utajifunza kutuma email kwa watu wengi kwa kutumia PHPMailer. Pia utajifunza jinsi ya kuweka Carbon Copy na Blind Carbon Copy
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kudhibiti error ambazo zinaweza kutokea wakati wa ku encode na ku decoe json data
Soma Zaidi...