Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database.
PROJECT YA CRUDE OPERATION KWA KUTUMIA OOP
Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database.
CRUDE ki kifupisho cha maneno CREATE, READ, UPDATE, DELETE. haya ni matendo muhimu manne kwenye database. Ili uweze kutumia database ni azima uyajuwe matendo haya. Code za project hii pia unawez akuzi download kwenye maktaba yetu hapa
Create hii inahusika na kuingiza taarifa kwenye database. Ni sawa na kutumia neno INSERT kama linavyotumika kwenye sql.
Read hii inahusika na kusoma data wenye database
Update hii inahusika na ku edit taarifa, yaani kuziboresha ama kuzibadili. Ni sawa na kutumia neno UPDATE kwenye sql.
Delete hii inahusika na kufuta taarifa kwenye data kwenye database. Ni sawa na kutumia DELETE kwenye sql.
Sasa katika project hii nimekuandalia matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani. Sasa tunakwenda kutumia OOP ili kuweza ku access database ili tuweze kufanya matendo hayo matatu yalotaja.
Database yetu nimeiita matokeo na table yenye wanafunzi nimeiita majibu. Table ina column tatu ambazo ni id, jina, alama. Id ni primary key na ni auto increment column. Project yetu ina mafaili 6 ambayo ni:-
Database:
Unaweza kutengeneza database kwa maelezo niliokupa hapo awali amba pia unaweza ku run code hizo hapo chini za sql ili kutengeneza table na kuweka baadhi ya data. Hakikisha uwe umeshatengeneza database yenye jina matokeo:
CREATE TABLE `majibu` (
`id` int(11) NOT NULL,
`jina` varchar(255) NOT NULL,
`alama` int(11) NOT NULL
) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8mb4 COLLATE=utf8mb4_general_ci;
INSERT INTO `majibu` (`id`, `jina`, `alama`) VALUES
(1, 'Jumanya', 50),
(2, 'Halima', 32),
(3, 'Daudi', 26),
(4, 'Saidi', 28),
(6, 'kasimu', 32),
(7, 'John ', 40),
(19, 'kwaya', 26);
ALTER TABLE `majibu`
ADD PRIMARY KEY (`id`);
ALTER TABLE `majibu`
MODIFY `id` int(11) NOT NULL AUTO_INCREMENT;
wanafunzi_class.php
Tengeneza faili kisha liiite wanafunzi_class.php kisha pest code hizo hapo chini:-
<?php
class wanafunzi
{
private $host = 'localhost';
private $username = 'root';
private $password = '';
private $database = 'matokeo';
public $db;
public function __construct()
{
if (!isset($this->db)) {
try {
$this->db = new mysqli($this->host, $this->username, $this->password, $this->database);
} catch (Exception $e) {
$error = $e->getMessage();
echo $error;
}
}
}
public function majina_ya_wanafunzi()
{
$select = "SELECT * FROM `majibu`";
$result = mysqli_query($this->db, $select);
return mysqli_fetch_all($result);
}
public function to_be_edited($pupil_id)
{
$pupil_id = mysqli_real_escape_string($this->db, $pupil_id);
$select = "SELECT * FROM `majibu` where id = $pupil_id";
$result = mysqli_query($this->db, $select);
return mysqli_fetch_all($result);
}
public function insertData($jina, $matokeo)
{
$jina = mysqli_real_escape_string($this->db, $jina);
$matokeo = mysqli_real_escape_string($this->db, $matokeo);
$insert = "INSERT INTO `majibu` (`jina`, `alama`) VALUES ('$jina', '$matokeo')";
$result = mysqli_query($this->db, $insert);
return $result;
}
public function editData($id, $jina, $matokeo)
{
$id = mysqli_real_escape_string($this->db, $id);
$jina = mysqli_real_escape_string($this->db, $jina);
$matokeo = mysqli_real_escape_string($this->db, $matokeo);
$update = "UPDATE `majibu` SET `jina`='$jina', `alama`='$matokeo' WHERE `id`='$id'";
$result = mysqli_query($this->db, $update);
return $result;
}
public function deleteData($id)
{
$id = mysqli_real_escape_string($this->db, $id);
$delete = "delete from majibu WHERE `id`='$id'";
$result = mysqli_query($this->db, $delete);
return $result;
}
}
$db = new wanafunzi();
read.php
Tengeneza faili lenye jina read.php kisha pest code hizo hapo chini
<?php
require_once 'wanafunzi_class.php';
?>
<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
<meta charset="UTF-8">
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1.0">
<link rel="stylesheet" href="style.css">
<titl">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya sqlite kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili uttakwend akujifunz ajinsi ambavyo utaweza kutengeneza simple ORM yakwako mwenyewe
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda jifunza jinsi ya kuhesabu row kwenye database, kutafuta wastani wa taarifa kwenye database na kutafuta idadi yake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya encryption na decryption kwa kutumia PHP. hii itakusaidia kuongeza usalama kwenye taarifa za watu
Soma Zaidi...Katika somo il utajifunza kutuma email kwa watu wengi kwa kutumia PHPMailer. Pia utajifunza jinsi ya kuweka Carbon Copy na Blind Carbon Copy
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na jinsi zinavyoweza kufanya kazi
Soma Zaidi...