Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PDO. crude operation inahusu create, read, update. Delete.
Database ambayo tunakwend akuitumia ni ileile ya wanafunzi. Ila ongeza table nyingine iite majibu. Table hiyo iwe na column 3 ambazo ni id, jina, alama. Hakikisha column id ni autoincrement..
Project yetu tauwa na mfali 6 ambayo ni
Kama nilivyo eleza kwene somo lilotanguliwa kuwa tutatumia mfumo wa OOP yaani object oriented programming. Hivyo kama utarejea project yetu ya CRUDE operation kwa kutumia OOP unaweza kuelewa zaidi.
index.php
Tengeneza faili liite index.php kisha pest code hizo hapo chini:-
<?php
require_once 'wanafunzi_class.php';
?>
<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
<meta charset="UTF-8">
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1.0">
<link rel="stylesheet" href="style.css">
<title>Majibu Data</title>
</head>
<body>
<?php
echo '<table border="1" class="center">';
echo '<a href="add.php"><h1>Add data</h1></a>';
echo '<tr><th>ID</th>
<th>Name</th>
<th>Alama</th>
<th>Edit</th>
<th>Delete</th>
</tr>';
$majina = $db->majina_ya_wanafunzi();
foreach ($majina as $jina) {
$options = $db->majina_ya_wanafunzi();
//echo $jina[0] . ' ' . $jina[1] . '<br>';
echo '<tr>';
echo '<td>' .$jina['id'] . '</td>';
echo '<td>' . $jina['jina'] . '</td>';
echo '<td>' . $jina['alama'] . '</td>';
echo '<td><a href="edit.php?id='.$jina['id'].'">รขลย</a> </td>';
echo '<td><a href="delete.php?id='.$jina['id'].'">รขยล</a> </td>';
echo '</tr>';
}
echo '</table>';
?>
</body>
</html>
add.php
Tengeneza faili liite add.php kisha pest code hizo hapo chini:-
<?php
require_once 'wanafunzi_class.php';
if (isset($_POST['submit'])){
// Insert data
$jina = $_POST['jina'];
$matokeo = $_POST['alama'];
$insertResult = $db->insertData($jina, $matokeo);
if ($insertResult) {
echo "<h1>Data inserted successfully!</h1>";
echo '<script>function quiz (){window.location.replace("index.php")}var myTimeout = setTimeout(quiz, 500)</script>';
} else {
echo "Error inserting data.";
}
}
?>
<br><br><br>
<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
<meta charset="UTF-8">
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1.0">
<link href="style.css" rel="stylesheet">
<title>Styled Form</title>
</head>
<body>
<form action="" method="post">
<label for="jina">Jina</label><br>
<input type="text" name="jina"><br><br>
<label for="alama">Alama</label><br>
<input type="number" name="alama"><br><br>
<input type="submit" name="submit" value="Save">
</form>
</body>
</html>
edit.php
Tengeneza faili liite edit.php kisha pest code hizo hapo chini:-
<?php
require_once 'wanafunzi_class.php';
// Check if the form for editing is submitted
if (isset($_POST['edit_submit'])) {
$id_to_edit = $_POST['edit_id'];
$edited_jina = $_POST['edited_jina'];
$edited_matokeo = $_POST['edited_alama'];
// Edit data
$editResult = $db->editData($id_to_edit, $edited_jina, $edited_matokeo);
if ($editResult) {
echo "<h1>Data edited successfully!</h1>";
echo '<script>function quiz (){window.location.replace("index.php")}var myTimeout = setTimeout(quiz, 500)</script>'">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na jinsi zinavyoweza kufanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Soma Zaidi...katika somo hili utajifunza jinsi ya ku upload multiple file yaani mafaili mengi kwa wakati mmoja kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit ama ku update data na kuzifuta kwenye database kwa kutumia PDO
Soma Zaidi...Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye website yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...