Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Sasa tutakwenda kutengeneza html form kwa ajili ya ku post. Uurasa huu utauwa na sehemu ya ku upload picha. Pa sehemu ya kuchaguwa tarehe.
Uurasa huu tutatuita post.php. l upata maeleezo zad juu ya kutengeneza kurasa hizi rudi kwenye mafunzo yatu ya PHP. Pa tutatuma Cedtor plugin kwa ajili ya kuweka uwanja wa kuandika.
1. wanza tutatengeneza faili la css kwa ajili ya kuboresha muonekano wa ukurasa wetu.
Code hizo hapo chini
* {
box-sizing: border-box;
}
label {
padding: 12px 12px 12px 0;
display: inline-block;
}
input[type=text], select, textarea {
width: 100%;
padding: 12px;
border: 1px solid #ccc;
border-radius: 4px;
resize: vertical;
}
input[type=submit] {
background-color: #424ef5;
color: white;
padding: 12px 20px;
border: none;
border-radius: 4px;
cursor: pointer;
float: left;
}
input[type=submit]:hover {
background-color: #45a049;
}
@media screen and (max-width: 600px) {
.col-25, .col-75, input[type=submit] {
width: 100%;
margin-top: 0;
}
}
2. Kisha tutatengeneza faili sasa la html form kwa ajili ya kuandika post
Copy code hizo hapo chini
<html>
<head>
<title>create your post</title>
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1">
<script src="https://cdn.ckeditor.com/4.16.2/standard/ckeditor.js"></script>
<script src="ckeditor.js"></script>
<link rel="stylesheet" href="style.css">
</head>
<body>
<form action">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya sqlite kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kudhibiti error ambazo zinaweza kutokea wakati wa ku encode na ku decoe json data
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na jinsi zinavyoweza kufanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na kuungansha kwenye blog yetu.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama njia ya kuzuia sql ingection kwenye PHP blog
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kujusu PHP variable, maana yake na sheria za uandishi wa variable
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza system ambayo mta atajisajili pamoja na kuchat na watumiaji wengine
Soma Zaidi...