HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
Tengeneza faili lingine liite view.php kisha pest code hizo hapo chini. Tutatumia get method ili kuweza kupokea id ya post kutoka kwenye database. kisha tutatumia hiyo id ku fetch post husika
<?php
$id = $_GET['id'];
include "config.php";
$Soma = mysqli_query($conn, "SELECT * FROM posts where id =$id");
while ($post = mysqli_fetch_array($Soma)){?>
<html lang="swa">
<head>
<title><?php echo $post['title']?></title>
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1">
<style>
p{
margin: 0 auto;
">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utaweza kujifunza ni kwa nambna gani utaweza kutengeneza blog post na kuisoma kwa kutumia data za json
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza umuhmu wa kutumia PDO kwenye PHP kwa ajili ya kutumia database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Faili la env ni moja kati ya mafaili ambayo ni muhimu kwa usalama wa project. Fili hili hutumika kuhifadhi data za siri
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za loop DO, FOR, FOREACH LOOPS kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PDO. crude operation inahusu create, read, update. Delete.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika constant kwenye PHP. Pia utajifunza utofauti wake na variable
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Soma Zaidi...