Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama njia ya kuzuia sql ingection kwenye PHP blog
Ili kuweza kuelewa vyema post hii tafadhali rejea mafunzo yetu ya php level 3 somo la 21 na 22 [1] utajifunza kwa urefu zaidi kuhusu sql injection na jinsi inavyofanya kazi. Kisha ndipo utajifunza jinsi ya kuzuia kwa kutumia prepared statement.
Pia ejea mafunzo haya kwa njia ya video kwenye channel yeu inayopatikana kwa jina la tehama-tz kwa link hii https://youtube.com/@tehama-tz
Hapa chini nitakuletea mafaili yaliyobadilishwa baada ya kyfanyiwa njia hii:
post.php
<html>
<head>
<title>create your post</title>
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1">
<script src="https://cdn.ckeditor.com/4.16.2/standard/ckeditor.js"></script>
<script src="ckeditor.js"></script>
<link rel="stylesheet" href="style.css">
</head>
<body>
<form action="" method="post" enctype="multipart/form-data">
<label for="title">Title</label><br>
<input type="text" name="title" placeholder="write your post title" id="title"><br>
<label for="summary">Summary</label><br>
<input type="text" name="summary" placeholder="write your post summary" id="summary"><br>
<label for="content">content</label><br>
<textarea name="content" id="content" placeholder="wrte your post content"></textarea>
<script>CKEDITOR.replace( 'content' );
</script>
<label for="publisher">publisher</label><br>
<input type="text" name="publisher" placeholder="write your post publisher" id="publisher"><br>
<label for="date">Date</label><br>
<input type="date" name="date" placeholder="write your post date" id="date"><br><br>
<label for="image">upload your image</label>
<input type="file" name="file" accept="image/*" id="image"><br><br>
<input type="submit" name="submit" value="submit">
</form>
<br><br>
</body>
</html>
<?php
include "config.php";
if (isset($_POST['submit'])) {
//start code
// form variables
$title = filter_var($_POST['title'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$summary = filter_var($_POST['summary'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$content = $_POST['content'];
$publisher = filter_var($_POST['publisher'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$date = filter_var($_POST['date'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$image = filter_var($_FILES['file']['name'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$folder = "upload/";
$location = $_FILES['file']['tmp_name'];
$size = $_FILES['file']['size']; //1024 = 1kb, 1024 kb = 1mb, 1024 = 1 gb 5*1024*1024 = 5242880">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia taarifa ambazo zimekusanywa kutoka kwa mtumiaji ili kuweka kutatuwa hoja mbalimbali
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kazi na matumizi ya construct function na desctruct function kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza tabale kwenye database ya mysql .
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuchakata data zaidi kw akutumia ORM kama ku join table
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse kwa kutumia PHP. Pia utajifunza jinsi ya kututa database yeto
Soma Zaidi...