Vyakula vya vitamini B na faida zake

Vyakula vya vitamini B na faida zake

Vyakula vya vitamini B na faida zake

VYAKULA VYA VITAMINI B

  1. Nyama
  2. Mapalachichi
  3. Mboga za majani
  4. Mimea jamii ya karanga
  5. Alizeti
  6. Mayai
  7. Pilipili
  8. Ndizi
  9. Viazi
  10. Maharagwe na kunde
  11. Nafaka kama mchele, mtama na mahindi

 

Kazi za vitamini B

  1. Husaidia mfumo wa fahamu kufanya kazi vyema
  2. Huhitajika kwa ajili ya uzalishaji wa nishati (nguvu) mwilini
  3. Husaidia katika utengenezwaji wa seli mwilini
  4. Husauidia katika utengenezwaji wa hemoglobin hizi ni chembechembe katika seli nyekundu za damu
  5. Husaidia katika kuchakata DNA
  6. Husaidia katika utengenezwaji wa seli mpya na kukomaa kwa seli

 



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3682

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana:

Faida za kula nanasi

Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya

Soma Zaidi...
KITABU CHA MATUNDA

Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho

Soma Zaidi...
Parachichi (avocado)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za parachichi

Soma Zaidi...
Faida za kula tango

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango

Soma Zaidi...
Faida za kula fyulisi/peach

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kunywa aji ya moto wakati wa asubuhi

Katika makala hii tutakwenda kujufunza faida za kiafya zinazopatuikana kwa kunywa maji yamoti wakati wa asubuhi

Soma Zaidi...