picha

Vyakula vya vitamini C na faida zake

Vyakula vya vitamini C na faida zake

VYAKULA VYA VITAMINI C

  1. Nyanya
  2. Mapera
  3. Pilipili
  4. Papai
  5. Tufaha (apple)
  6. Karoti
  7. Kitunguu
  8. Palachichi
  9. Embe
  10. Kabichi
  11. Pensheni
  12. Zabibu
  13. Nanasi
  14. Limao
  15. Chungwa
  16. Papai

 

Faida za vitamini C

  1. Husaidia katika utengenezwaji wa tishu mwilini
  2. Husaidia katika uponaji wa vidonda
  3. Ni antioxidant ambayo husaidi katika kuondosha sumu za vyakula mwilini
  4. Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga mwilini
  5. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya kiseyeye


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1056

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Dua za Mitume na Manabii   

Post zinazofanana:

Ulaji wa protini kupitiliza

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za ulaji wa protini kupitiliza

Soma Zaidi...
Je miwa ina madhara yoyote?

Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa Je miwa ina madhara yoyote?

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula maboga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga

Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa afya ya moyo

Hivi ni vyakula hatari kwa watu wenye maradhi ya moyo. Vyakula hivi si salama kwa afya ya moyo

Soma Zaidi...