Hii ni orodha ya matunda yenye vitamini C kwa wingi sana ikiwemo machungwa, mapera na mapapai
Makala hii inakwenda kukuletea orodha ya matunda yenye vitamini C kwa wingi. Vitamini C vinajulikana kwa umuhimu wake kwenye miili yetu hasa katika kuipa nguvu miili yetu katika kupambana na maradhi. Kwa wingi vitamini C tunaweza kuvipata katika matunda yafuatayo:-
1.Pilipili nyekundu
2.Machungwa
3.Madanzi
4.Malimao na ndimu
5.Pera (mapera)
6.Pilipili za njano
7.Matunda aina ya kiwi
8.Mapapai
9.Nanasi
10.Maembe
11.Tikiti maji
12.Nyanya
13.Pensheni
14.Zabibu
15.Epo
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukuletea vyakula vyeny maji kwa wingi na umuhimu wake mwilini
Soma Zaidi...Madhara ya upungufu wa protini ni mengi kiafya. Miongoni mwa madhara hayo ni..
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna au njia za kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba ya homoni imbalance kwa wanawake.
Soma Zaidi...