VYAKULA VYA VITAMINI K

  1. Nyama
  2. Mayai
  3. Siagi
  4. Maziwa
  5. Mchicha
  6. Kabichi
  7. Spinachi
  8. Kisamvu
  9. Mapalachichi
  10. Zabibu
  11. Matunda mengine
  12. Mboga nyingine za kijani

 

Faida na kazi za vitamini K mwilini

  1. Husaidia katika kuganda kwa damu
  2. Husaidia katika kuboresha afya ya ubongo
  3. Husaidia katika kuthibiti matumuzi ya madini ya calcium mwilini
  4. Husaidia katika kulinda afya ya mifupa
  5. Husaidia katika kuimarisha afya ya moyo