VYAKULA VYA VITAMINI E

 1. Karanga
 2. Palachichi
 3. Maziwa
 4. Samaki
 5. Siagi
 6. Viazi mbatata
 7. Mchele
 8. Siagi
 9. Korosho
 10. Spinachi
 11. Alizeti
 12. Mayai
 13. Maini
 14. Nyama

 

Kazi za vitamini E

 1. Husaidia kuondosha sumu za kemikali na vyakula mwilin
 2. Husaidia katika utengenezwaji wa utando wa seli mwilini
 3. Husaidia katika utengenezwaji wa utando maeneo mbalimbali ya mwili kama neva
 4. Husaidia katika ukuaji mzuri wa mifupa