Vyakula vya vitamini A na kazi zake

Vyakula vya vitamini A na kazi zake

VYAKULA VYA VITAMINI A

 1. Maziwa
 2. Maini
 3. Karoti
 4. Machungwa
 5. Mchicha
 6. Kabichi
 7. Spinach
 8. Kisamvu
 9. Matango
 10. Mboga za majani

 

Kazi za vitamini A

 1. Husaidia katika kuimarisha afya katika mfumo wa upumuaji
 2. Husaidia kulinda afya ya amcho
 3. Pia huboresha mfumo w fahamu
 4. Tatizo la kutoona vyema na upofu huweza kusababishwa na upungufu wa vitamini A mwilini.
 


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 185


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-