VYAKULA VYA VITAMINI A
- Maziwa
- Maini
- Karoti
- Machungwa
- Mchicha
- Kabichi
- Spinach
- Kisamvu
- Matango
- Mboga za majani
Kazi za vitamini A
- Husaidia katika kuimarisha afya katika mfumo wa upumuaji
- Husaidia kulinda afya ya amcho
- Pia huboresha mfumo w fahamu
- Tatizo la kutoona vyema na upofu huweza kusababishwa na upungufu wa vitamini A mwilini.