Vyakula vyenye maji mengi kwa wingi

Vyakula vyenye maji mengi kwa wingi

VYAKULA VYENYE MAJI KWA WINGI

 1. Tikiti
 2. Tango
 3. Nanasi
 4. Machungwa
 5. Madanzi
 6. Mapensheni
 7. Miwa
 8. Mapapai
 9. Mastafeli
 10. Matunda damu
 11. Komamanga

 

 

Faida za maji mwilini

 1. Kulainisha viungo
 2. Husaidia katika utengenezwaji wa mate na makamasi
 3. Husaidia katika usafirishwaji wa oksijeni mwilini
 4. Huboresha afya ya ngozi
 5. Huboresha afya ya ubongo, ugwe mgongo na milango ya fahamu
 6. Husaidia katika kupunguza joto
 7. Mfumo wa mmengenyo wa chakula unategemea maji
 8. Husaidia katika kuondosha ushafu ndani ya mwili
 9. Hutdhibiti shinikizo la damu
 10. Huzuia uharibifu wa figo
 11. Husaidia katika kupunguza uzito

                    

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 130

Post zifazofanana:-