Faida za kiafya za kula Kabichi

Faida za kiafya za kula Kabichi



Faida za kiafya za kula kabichi

  1. kabichi lina virutubisho kama protini, vitamini K, A, B6 na C. pia lina madini ya chuma, calcium na magnesium.
  2. Husaidia katika kupunguza mashambulizi ya mara kwa mara ya bakteria, virusi na fanasi
  3. Husaidia katika kupona kwa haraka kwa majeraha
  4. Husaidia kupunguza uharibifu wa seli dhidi ya kemikali mbaya
  5. Huboresha afya ya mifupa, misuli na mishipa ya damu
  6. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani
  7. Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kuzuia kukosa haja
  8. Hufanya moyo wako uwe katika afya njema
  9. Hushusha presha ya damu
  10. Hushusha kiwango cha cholesterol


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1797

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 web hosting    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Dua za Mitume na Manabii    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana:

Nanasi (pineapple)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula nanasi

Soma Zaidi...
Rangi za matunda

Fida za matunda huanzia kwenye rangi zake, je unajuwa kama rangi ya matunda inaeleza jambo?

Soma Zaidi...
Faida za kula Ukwaju

Zitambue faida kubwa za kula karanga kwa ajili ya afya yako

Soma Zaidi...
Faida za kitunguu thaumu mwilini

Makala hii itakuletea faida za kitunguu thaumu katika afyabyako.

Soma Zaidi...
Boga (pumpkin)

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula maboga

Soma Zaidi...
Faida za karoti

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za karoti na umuhimu wake kiafya

Soma Zaidi...